BBC Swahili isn't streaming online via our radio directory. Do you know the live stream? If so, let us know!
Get the live Radio Widget
Guest Hivi hii ndio barcelona au macho yangu.by michael mwakibinga
May 2, 2013, 4:01 p.m. GMT
Guest lhabari za asubuhi,hivi mbunge wako huwa anakuja. Kuwatemberea. Jimboni?,make kwetu haonekani!!!!.je anapokwenda Dodoma anayoyasema anayatoa wapi?,au ndo kulumbana na kudai vitu ambavyo kwetu sio muhimu,,,Ombi shughuriki yanayohusu wanwnchi wa majimbo yenu wanateseka,Angarizo,,,hacha kulaumiana na k...
April 24, 2013, 4:11 a.m. GMT
Guest Lazima damu ya waken ya ambao ni makafiri im wagwe.sbu damu zao n i za mbwa. Allahu akbar
March 31, 2013, 6:34 a.m. GMT
Guest Naitwa joyce joseph chacha wa arusha nawaomba wakenya waache ukabila wainge ujamaa toka tanzania pia wawe na utamaduni wa kupenda wao kwa wao bila ubangazi .pia tunamwomba odiga akubali matokeo aache ubishi
March 22, 2013, 6:59 p.m. GMT
Guest Naitwa joyce joseph chacha wa arusha nawaomba wakenya wasali sana kwani kipindi cha uchanguzi damu inamwangika sana asa wakina mama na wtt ndio wanakufa zaidi
March 22, 2013, 6:31 p.m. GMT
Guest Naitwa Bakari naishi z'bar wakenya muwe makini ktk uchaguz !
March 5, 2013, 2:24 p.m. GMT
Guest Umakini wa kenya !
March 5, 2013, 2:20 p.m. GMT
Guest Naitwa mohamed naishi tunduma border nawatakia uchaguzi mwema wakenya
March 4, 2013, 6:28 p.m. GMT
Guest Naitwa Anthony naishi Dar es salaam kinyerzi Tz. Nawapongeza Wa Kenya kwa kupiga Kura wa Ustaarabu hata Tanzania tuige wenzetu
March 4, 2013, 3 p.m. GMT
Guest kiukweli mnajitahid sana katika utoaji wa habari maana tupo watu ambao tunaishi mazingira ambayo hakuna umeme runinga hazishiki wala radio lakini kwa simu tunawapata mtandaoni asanteni sana.adrian joseph TANZANIA - MOROGORO - MOFU.
March 3, 2013, 6:45 p.m. GMT
Guest dxdfccdccfcfcffvfvfvfvgfvgvggvgbvfgbvgfbybgbddxdxdxdxdxdxdxcdccddcffrfdfdfdfdfffrfcrfccfcfcvfffccffcfvrfffvfffftftdddfdfcfcfcctfvtvttvtvtvvtvttvtvtvtvtvtvtbtbtbtbtbftbtbbtbtbtbtbtbtbtbftrcffvrftfvfvfvfvfvvfvvdddxxcdcdcdcrcrfcrcrcrcrcvrcrtcvtcvtvttctcttvtvtkvttvtttctvtvvtvtvttvtvtvtvtvtvvttvvtvtvyvyv...
Feb. 28, 2013, 11:15 p.m. GMT
Guest Kwa jina naitwa salum fabiani mlengwa nipo s.africa natokea tanzania rukwa kwann marais wa africa hawana umoja matatizo yakugandamizwa na hawa wazungu yata ishalini ina maanisha mzungu alipewa upeo kuzidi mtu mweusi na ikiwa hivyo kwann naww rais wa africa usi ige kutoka kwa mzungu ili ufanye mambo ...
Feb. 14, 2013, 8:45 a.m. GMT
Guest Mimi naitwa jamhuri yahay niko kigoma tanzania ombi langu ni kwamba naomba nipewe utaratibu wa kujisagili au kujiunga ili niwe napata matangazo yenu kupitia email yangu. Ambayo ni (jamhuri yahya@yahoo.com)
Jan. 8, 2013, 3:32 p.m. GMT
Guest mimi nataka kujua Salim Kikeke ni Raia wa Tanzania au kenya? Daud Michael toka Sudan
Dec. 29, 2012, 12:50 p.m. GMT
Combattant Mike Wapenwa wasikilizaji salamu ziwafikie popote mulipo duniyani nikiyitwa kwa jina la MIKE MUKANU NDANDA Mwenye miaka 32 kuto jamuhuri ya ki demokrasia ya watu wa Congo,nIkihishi nchini jamuhuri ya watu afrika kusini ,ninge penda kuhuliza hivi je sisi atuna haki yakuhishi nahamani ulimwengu hu Au vipi?...
Dec. 22, 2012, 9:31 a.m. GMT
Guest Mimi nashauri kuwa hao M23waache kupigana,wakiendelea kupigana cha moto watakiona pamoja na mwenzao Kagame anao wasaidia mda si mrefu atakua kama Charles Tylor na wenzake wote kama vile aliye kuwa Rais wa Misri na wengine wengi,awaulize mnaiskiaje hiyo ICC.Kunaonekana kuna aina ya upendeleo ktk UN ...
Dec. 21, 2012, 1:15 a.m. GMT
Guest Jamahani yanayo fanika jamuhuri ya Congo ni ungwana au lah,wamechoka jamahni wanataka amahni
Dec. 20, 2012, 7:07 a.m. GMT
Guest nawatakia matangazo mema hongera kwakutuletea bbc kalibu mimi naitwa mussa africa sanga tunduma border tz mbeya
Nov. 27, 2012, 3:54 p.m. GMT
Guest miminashauli hawa m23 waachekugombana wakae waelewane na joseph kabila
Nov. 27, 2012, 3:43 p.m. GMT
Guest mh lohasa usimsikilize mtu wewe endelea kusaidia jamii ktk kufanya hinywo mungu anakuongezea uhai waache wao wanao zificha uko nje pesa zao waka tanzania watu wana mateso' makubwa 'nakutakia moyo huohuo endelea nao mheshimiwa ngoyai rowasa by renyhard tzdare es salaam
Nov. 26, 2012, 5:13 a.m. GMT
Guest nyinyi tume ya moni ya katiba msijifanye iyo katiba ni ya kwenu.nataka mtusikilize kwa makini maana nyinyi niwafanyakazi wetu lazima mtusikilize' kama mnatutakia mema ktk nchi hii' na jambo lingine mheshimiwa kibamba aliongea kitu cha msingi sana lakini mnajifanya mmenyamaza kimyaaaa by renyhard n...
Nov. 26, 2012, 5 a.m. GMT
Guest nashangaa sana nchi ya tanzania raisi kila kukicha unasikia amesafili kwenda nje kuomba misaada chaajabu akipewa na kuileta anawaachia mafisadi wanaichukua nao wanailudisha kwenye acaunt zao zanje angalia aka kamchezo ndg yangu mtanzania au na yeyeyumo mbona kimya?by mr renyhard njowoka ;tz 26/11/20...
Nov. 26, 2012, 4:39 a.m. GMT
Guest tanzania? nisiku gani na mwaka gani viongozi wa serikari mtaacha kuiba mabilioni yafedha na kwenda kuzificha ktk nchi za nje? mimi kama mtumishi nasema rudisheni halaka
Nov. 26, 2012, 4:18 a.m. GMT
Guest Ewe Rais wa RDC mbona unadharau M23 ,keti pamoja mzungumuze raia wanateseka.Léonidas Haimana(Assouman) chuo kikuu cha Burundi
Nov. 24, 2012, 11:02 a.m. GMT
Guest Na mimi pia nafurahi ya kwamba BBC inatutolea habari nzuri za kusisimua na kutuelimisha .Léonidas Habimana chuo kikuu cha Burundi.
Nov. 24, 2012, 10:56 a.m. GMT
Guest Napenda sana matangazo yenu bbc inafundisha,naitwa Meddy toka Singida
Nov. 23, 2012, 3:31 p.m. GMT
Guest hongera bbc kwahabari zenu nzuri na za uhakika.ila nataka kujua huyu Salim Kikeke ni Mzaliwa wa Wapi? mimi natwa Fatawi wa Pemba Chake chake.
Nov. 11, 2012, 7:53 a.m. GMT
Guest Writeo something on this wall! Ongereni BBC kwa kututaarifu kuhusu Dunia. Mimi Jeremiah Laizer Makumira University Tanzania, aka Linguist.
Nov. 3, 2012, 5:50 p.m. GMT
Guest Naishukuru bbc kwa habari motomoto ninawaombea kwa Mungu msonge mbele. Lima mwza tz.
Oct. 30, 2012, 6:29 p.m. GMT
Guest naipenda pia majagi
Oct. 30, 2012, 10:13 a.m. GMT
Guest emery migabo kutoka burundi bbc ni radio napenda sana pia kiswahili ni luga yangu tufanye nguvu kiswahili izungumuzwe na wa africa wote ata kwenye mikutano ya union africa naishi canada-toronto
Oct. 11, 2012, 4:33 a.m. GMT
Guest I love BBC Swahili
Sept. 7, 2012, 12:08 p.m. GMT
Guest Hakika mnatupatia habari zilizokamilika hii haijatukia Tanzania. Naitwa Ridhiwani Hassani Mfinanga kutoka Mwanga Kilimanjaro
Aug. 13, 2012, 8:33 a.m. GMT
Guest radio one tanzania
July 13, 2012, 5:43 p.m. GMT
Playlist, tracklist, top songs played coming soon...
PC requires Windows Media Player - Mac additionally requires Real Player - See FAQs for more info on how to listen to live streaming radio.
Guest nyie wakenya dumisheni amani na upendo huko mkoani pwani acheni kuuana mungu hapendi.naitwa luta mwalimu luta wa kilosa morooro.
May 14, 2013, 3:14 a.m. GMT