Clouds FM - FM 88.5 - Dar es Salaam

Save this radio to your Streema Favorites

The People's Station

Wall - Post a message

khateebu.khateebu

Khateebu Khateebu

miamia mko njuu

April 4, 2014, 10:30 a.m. GMT

Guest

Guest

Muko juu the people station

March 25, 2014, 10:54 a.m. GMT

salum.johari

Salum Johari Sajo

Naitwa salum saidi johari toka Mtwara vijijini Tanzania nawapata vizuri pia ningependa nijibu swali ,Tatizo kubwa la kugombana ktk mahusiano akuna uaminifu katika mahusiano

March 8, 2014, 12:18 p.m. GMT

Guest

Guest

naitwa Ignas Haule kutoka chuo cha mipango Dodoma nawapata live online, yes, this is the super bland

Jan. 22, 2014, 6:32 p.m. GMT

Guest

Guest

Kwa ukweli ile asubuhi ni burudani tupu kwenye Power Breakfast. Yani Babra Hassani, PJ, Mbwiga na Mzee Mkuda, sio tu mnatangaza bali there is somesort of Commedy na message zinafika. Keep it up. Waefeso ARUSHA

Jan. 13, 2014, 10:36 a.m. GMT

ally.shemainda.1

Ally Shemainda

Nawapongeza kwa kusheherekea miaka 14 ya kuzaliwa radio ya watu,mzidi kutupa raha na vipindi vizidi kuboreshwa zaidi.mungu ibariki tanzania mungu ibariki radio clouds fm.ALLY RAMADHANI KIHIYO.MBAGALA

Jan. 7, 2014, 6:32 a.m. GMT

jerry.kilver

Jerry Kilver

cool coz er budy like it

Nov. 13, 2013, 1:05 p.m. GMT

Guest

Guest

clauds mpo juu sana, vipind vizuri saana kama, ,,njiapanda,

Nov. 10, 2013, 5:22 p.m. GMT

Guest

Guest

Why did IMMIGRATION permit this ALIEN our FREQUENCY? Attention

Oct. 27, 2013, 8:47 p.m. GMT

Guest

Guest

Omary cmba clouds inatixha ya huku kitaan huwa ha2ruki kipnd pa1

Oct. 26, 2013, 8:13 a.m. GMT

Guest

Guest

Mmetisha ni duda toka tbr

Oct. 12, 2013, 10:54 p.m. GMT

Guest

Guest

hampatka online na muhimu kumckiliza millard muda huu tatzo nn

Oct. 9, 2013, 3:12 p.m. GMT

Guest

Guest

mm na wapa pegezi wanya kaz wote clouds kwa kuwafumbu tz kwa fursa iko poa sana ten noma sana

Sept. 30, 2013, 5:30 p.m. GMT

Guest

Guest

kuna fursa ilitajwa katika power breakfast kuhusu kujengwa vyoo katika barabara kuu zote nchini almaalufu kama vituo vya kuchimbia dawa, nahitaji kuwekeza katika njia kigoma, nahitaji kupata taarifa zilizo sahihi kuhusu suala hili. Anna charles niko ukumbini.

Sept. 28, 2013, 9:32 a.m. GMT

Guest

Guest

Clouds fm mkojuu sana ni moja kati ya radio apa bongo nisipoisikiliza au kuisikia najisikia vibaya sana. laiti ningekuwa dar es salaam ningekujaata kuwa tembelea nione utendaji kazi wenu unavyo kwenda. please naomba darasa la fusra mkoani mwanza tar 28, liwe live kwenye radio coz wengine mazingira t see more... uliopo ni vigumu kufika mwanza kirahisi. kama mm nipo mugumu vijijin uku serengeti na nimwalimu sitaweza kuondoka plz tunaomba mtufikirie. mwili frank kutoka serengeti

Sept. 25, 2013, 6:02 p.m. GMT

Guest

Guest

Clouds mnama tatizo gani jamani uku musoma mnapikana kwa shida jamani mnatunyima raha.

Sept. 25, 2013, 11:06 a.m. GMT

bengile

bengile

Clouds mbona tangu Ijumaa hampatikani Online?

Sept. 16, 2013, 10:25 a.m. GMT

CocoMaster

Andrew Baraka Baldwin Lema

Dah! nasikiliza clouds fm South Africa utafikiri nipo home vile,mpango mzima ndo huu wadau,clouds fm online

Sept. 10, 2013, 7:39 a.m. GMT

Guest

Guest

Jamal ndalni ya pritoa nawapata vizu sana

Aug. 6, 2013, 9:29 a.m. GMT

SAKAOCOCO

SAKAOCOCO

je rukwa mbina siwapati!! ktk internet

Aug. 5, 2013, 11:34 a.m. GMT

Guest

Guest

namulunga wa mtwara ongera clause fm

July 19, 2013, 1:14 a.m. GMT

Aggrey2107

Aggrey2107

Nyie Clouds FM acheni uzembe au hamlipwi mishahara yenu... Inakuaje hakuna anaejali kujibu au kujishughulisha wakati wasikilizaji tunapokuwa hatupati matangazo yenu hasa internet kwa wale tulioko nje ya Tanzania. WHAT A SHAME? YOU GUYS NEED TO LEAD BY EXAMLPE!!!

July 14, 2013, 12:24 p.m. GMT

Guest

Guest

Frequency zenu zinapatikana kwa shida xana huku moshi,2peni raha

July 11, 2013, 6:27 a.m. GMT

Guest

Guest

songea mnapatikana kwenye masafa yapi?

July 1, 2013, 12:25 p.m. GMT

Guest

Guest

masasi tupo poooowaaaa na clouds fm

June 28, 2013, 7:56 a.m. GMT

trensius

trensius

ebwana clous fm ninoma yani kama 2po bongo vile habari zote 2nazipata pnd za huku south

June 27, 2013, 7:19 p.m. GMT

Guest

Guest

HUKU KWETU SONGEA HATUWAPATI MATANGAZO YENU KWA MASAFA YA FM

June 27, 2013, 10:30 a.m. GMT

meja123ngunde

meja123ngunde

Clouds mpo sawa kabisa hapa Repablic of Congo kama nipo Dar

June 24, 2013, 6:25 p.m. GMT

Guest

Guest

leo nawapata vizuri sana hapa london jiji la maraha

June 22, 2013, 12:06 p.m. GMT

Guest

Guest

Dada Gea, yaani maisha matamu sana!nipo paris mji unaitwa Fountaibleu naipata Clouds kwa raha zangu!poa sana

June 2, 2013, 4:12 p.m. GMT

Guest

Guest

inakuaje kuusu ngweair

June 1, 2013, 12:06 p.m. GMT

Guest

Guest

napenda sana mipasho wenu

May 31, 2013, 9:33 a.m. GMT

Guest

Guest

mnasikika vizuri sana

May 31, 2013, 9:32 a.m. GMT

Guest

Guest

Hi clouds fm

May 23, 2013, 5:53 p.m. GMT

Guest

Guest

kimeo clouds leo

May 3, 2013, 12:07 p.m. GMT

Guest

Guest

mbona kimy au ndio mambo ya analog to digital clouds fm?

April 25, 2013, 8:24 a.m. GMT

Guest

Guest

Mbona siwapati clouds fm kwenye internet?

April 25, 2013, 5:08 a.m. GMT

Guest

Guest

Hi! why not on air, we expecting various news by using one machine for different works, i.e computer. Your broadcasting is one of the part in my computer. Please make sure to forwad not backward.

April 16, 2013, 5:25 a.m. GMT

Guest

Guest

Hey cloud mbona namnagani?au ndio njama zenu turudi bongo?mwa2peleka mtaani apa mother sity of CPI mnaogapa kua live all de time?!I'm feedforce

April 13, 2013, 7:34 a.m. GMT

Guest

Guest

Clouds mnatatizo gani? au digital ...., hampatikani

March 19, 2013, 2:01 p.m. GMT

Guest

Guest

Clouds, unajua sielewi ni kwa nini mnakuwa off air kila mara!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

March 19, 2013, 1:52 p.m. GMT

Guest

Guest

Hampo on net

March 19, 2013, 7:12 a.m. GMT

Guest

Guest

jamani hadi mna boa kila siku off air nashangaa sana nyie ndi muma azisha watu wasikilize radio kwenye internet lkn radio dogo zinzwapita tatizo nini kama hampatikani jitoeni kabisa tunawatengemea nyie kituo kikubwa.

March 14, 2013, 8:57 a.m. GMT

Guest

Guest

jaman leo tena mbona hampatikan vzuri kwenye net

March 14, 2013, 8:54 a.m. GMT

Guest

Guest

halo mambo na vana ny ny oke basy nzo basy hoekoe

March 6, 2013, 11:19 a.m. GMT

Guest

Guest

kila siku off line au ndio mmefungiwa hata kujiweka hewani

March 6, 2013, 1:09 a.m. GMT

Guest

Guest

mnakera kweli kweli

March 6, 2013, 1:08 a.m. GMT

Guest

Guest

i love u all clouds team my choice diva

March 5, 2013, 8:06 p.m. GMT

Guest

Guest

Hope it's not our daily electricity cut across the country

March 5, 2013, 12:40 p.m. GMT

Guest

Guest

Clouds be serious. Come back on line

Feb. 27, 2013, 8:50 a.m. GMT

Guest

Guest

mbona hampatikani clouds?. Elisony

Feb. 27, 2013, 6:02 a.m. GMT

Ndeanka

Wilbard Ndeanka

The people station

Feb. 24, 2013, 7:37 a.m. GMT

Guest

Guest

Clouds mnanifurahisha sana! Mnanirudisha nyumbani kila kukicha! Kweli ninyi ni RADIO MAWINGU8

Feb. 23, 2013, 2:35 p.m. GMT

Guest

Guest

jamani umeme hamna nini mbona hivyo siku mbili sasa nothing on air tujalini basi ndugu zenu tufurahi na tupate habari za home

Feb. 20, 2013, 2:26 p.m. GMT

Guest

Guest

Yaani vipindi vyenu navipenda sana lakini hampatikani kabisa tangu jana

Feb. 20, 2013, 8:15 a.m. GMT

Guest

Guest

Hipendezi mnakatika mno mara kwa mara WHY?

Feb. 20, 2013, 5:45 a.m. GMT

Guest

Guest

Kibonde kwani ujui kama kuna mgomo wa walimu sasa tunakupatia miaka mingine miwili watafaulu asilimia kumi tu mpaka mtakapo. Wajali

Feb. 19, 2013, 2:40 p.m. GMT

erasmos.tarimo

Erasmos Tarimo

Mbona mara nyingi hampatikana hewani pleas cheeck it,Erasmios M Tarimo Egypt Cairo

Feb. 19, 2013, 1:26 p.m. GMT

Guest

Guest

please tunawapenda ila mara nyingi hampatikani hewan jamani why?

Feb. 17, 2013, 11:50 a.m. GMT

aaimtonga

Aimy Makawia

In Juba Jahazi poa sanaaaa.

Feb. 14, 2013, 3:27 p.m. GMT

Guest

Guest

Kibonde anatisha nasikilza jahazi kila wakati. kutoka darfur sudan. mnatisha ....najiona nipo bongo. sina mbavu... kweli clouds,,,,weka mbali na watoto.

Feb. 14, 2013, 3:08 p.m. GMT

Guest

Guest

plz mbona mnakatikatika jamani please be onair all the time

Feb. 13, 2013, 8:11 a.m. GMT

Guest

Guest

Wa dada mko juu

Feb. 11, 2013, 9:30 a.m. GMT

Guest

Guest

jmani kulikono hatukupateni

Feb. 10, 2013, 10:02 a.m. GMT

Guest

Guest

tafadhali nina kero naomba namba ya Bonge au ya ofisini Lakini kazi yenu ni njema sana na Mungu awabariki Rose G

Feb. 8, 2013, 7:12 a.m. GMT

Guest

Guest

aeioo babebibobu

Feb. 7, 2013, 1:42 p.m. GMT

Guest

Guest

jamana mbona huku kahama clouds fm haipo hewani.

Feb. 6, 2013, 5:35 p.m. GMT

Guest

Guest

Mbona mara kwa mara hampatikani hewani jamani, kulikonii, wakati mwingine tunasikiliza Jahazi, mambo muhimu yanazungumzwa, Hengereni Kibonde na Jahazi Team, lakini mnakatika katika hewani hampatikani hata kwenye tuneIn applications hamna kitu!!!fanyeni kweli muwe na kitu cha uhakika

Feb. 6, 2013, 11:42 a.m. GMT

Guest

Guest

hivi kweli Ndugai ndo anaamua kuwa mbabe kiasi hiki anafanya bunge kama la mama yake mdogo? jamani watanzania tusiendelee kulala

Feb. 5, 2013, 2:27 p.m. GMT

mohammed.ally.71

Mohammed Ally

we are togather anytime

Feb. 5, 2013, 1:06 p.m. GMT

Guest

Guest

safi clouds

Feb. 4, 2013, 7:07 p.m. GMT

Guest

Guest

cwapati kwa komputa yangu.

Feb. 3, 2013, 7:38 a.m. GMT

Guest

Guest

rj i love you that see

Feb. 2, 2013, 3:27 p.m. GMT

Guest

Guest

JUKUMU LA KULEA MTOTO NI LA JAMII NZIMA

Feb. 2, 2013, 1:13 p.m. GMT

Guest

Guest

nawapata from havana city huku full spanish but bongo sana tu! piganieni maendeleo ya nchi,viongozi wanatembea kila kukicha je hawaoni nchi nyingine wanavyofanya kweli kuhusu maendeleo ya nchi?imefika wakati watanzania tuipiganie taifa letu pasipo kujari udini na ukabira maana we are all african

Feb. 1, 2013, 8:52 p.m. GMT

Guest

Guest

iko pooooooooooooooooooooooooa

Feb. 1, 2013, 9:58 a.m. GMT

Guest

Guest

siwapati poa

Feb. 1, 2013, 8:35 a.m. GMT

Guest

Guest

nawapta vizuri sana Gerlad&babra toka lushoto town,chuo cha mahakama T.HUMPHREY

Feb. 1, 2013, 4:57 a.m. GMT

Guest

Guest

Ninawapata vizuri saaana kutoka New York, Clouds mpo juu hakuna ubishi. Big up JAHAZI

Jan. 31, 2013, 2:42 p.m. GMT

Guest

Guest

nawapata fresh kutoka online big up from South Africa.ooooiiiiooooiiiiii by jimmy

Jan. 30, 2013, 4:32 p.m. GMT

Guest

Guest

mi niko pande za tarime jaman huku hatuwapati kabisa sijiui tatizo nini ?

Jan. 30, 2013, 3:21 p.m. GMT

Guest

Guest

clouds make i crazy

Jan. 29, 2013, 10:16 a.m. GMT

Guest

Guest

clouds is the best radio ever.

Jan. 28, 2013, 12:39 p.m. GMT

Guest

Guest

CLOUS NDIYO YE NYEWE HAMNA UBISHI WAKO SAMMY COOL

Jan. 28, 2013, 8:15 a.m. GMT

Guest

Guest

LIl toms VINEGA wanatisha jomba apa nyamongo ww B12

Jan. 27, 2013, 10:34 p.m. GMT

Guest

Guest

Nawapata vizuri kabisa online kutoka lindi

Jan. 24, 2013, 6:27 p.m. GMT

Guest

Guest

all the way from russia st petersburg listening to clouds fm makes me feel kama bado niko home tz....the people's station

Jan. 24, 2013, 4:45 p.m. GMT

Guest

Guest

nawapata vizuri hapa nairobi thru net,feels lyk am at home.....clouds fm my choice.........dol

Jan. 22, 2013, 4:52 a.m. GMT

Guest

Guest

fresh sana ila kuna siku nyingine kwenye net inanizingua sijui tatizo nini? ila leo safi sana big up kwenu

Jan. 21, 2013, 5:13 p.m. GMT

Guest

Guest

i like clouds f.m

Jan. 20, 2013, 11:06 a.m. GMT

Guest

Guest

mbona clouds cwapati jamani?hii ni wiki ya 3 sasa kutokea sweden

Jan. 20, 2013, 9:46 a.m. GMT

Guest

Guest

Radio ninzurinal

Jan. 18, 2013, 7 p.m. GMT

Guest

Guest

Oy n aje tena mbona hampo kwa hewa???? tHE LAST MAN STANDING

Jan. 18, 2013, 12:26 p.m. GMT

Guest

Guest

Mko juu nawasikia mpk ofisini Mzimbiri, M.K. Box 400 Uyole, Mbeya

Jan. 18, 2013, 11:43 a.m. GMT

Guest

Guest

OYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOH WAJOMBA ONLINE NAWAPATA KIUTAMU ..................................TEEENA UTAAMUU KWELI KWELI.MATERU GOODLUCK ONLINE RIGHT NOW

Jan. 18, 2013, 10:30 a.m. GMT

Guest

Guest

hatuna maneno kwenye digital tena hakiharibiki kitu.dada dina kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli.materu goodluck

Jan. 18, 2013, 9:28 a.m. GMT

killian

killian

ebwana nawapata vizuri sana clouds fm online imetulia sana mimi emmanuel sylvester xxl ipo juu mbaya stamina anatisha sana wengine wanangoja

Jan. 11, 2013, 12:37 p.m. GMT

Guest

Guest

dah namsikiliza diva live sasa from wroclaw poland big up sister na clauds kwa ujumla.......

Jan. 10, 2013, 8:22 p.m. GMT

Guest

Guest

nawapata vyeeema. muhalla bernard niko columbia maryland

Jan. 9, 2013, 3:59 p.m. GMT

Guest

Guest

mitambo yenu ni analoginia nini? maake Clouds TV ipatikani kwa Tanga why? natuna tumia vingamuzi

Jan. 7, 2013, 12:12 p.m. GMT

Playlist, tracklist, top songs played coming soon...

PC requires Windows Media Player - Mac additionally requires Real Player - See FAQs for more info on how to listen to live streaming radio.