Guest
Natumaini mna maono makubwa juu ya redio sauti ya Injili kwamba miaka ijayo iwe inasikika Tanzania nzima zaidi ya redio zingine zote. Mungu awe nanyi mnapopanga mipango hiyo. Mbeya hatuipati kirahisi.
Feb. 28, 2013, 1:36 p.m. GMT
Guest
Naisubiria sana sauti ya injii iingie kwenye mtandao mm nipo morogoro naitafuta sana kwenye mtandao naona bado haijawa tayari
Feb. 27, 2013, 1 p.m. GMT
Guest
hongereni bwana atawalipa siku moja
Feb. 12, 2013, 4:37 p.m. GMT
Guest
radio haipatikani jamani
Feb. 4, 2013, 7:52 a.m. GMT
Guest
hongereni kwa kazi nzuri nabarikiwa sana na kipindi cha tatizo langu naomba mkiongezee muda walau kiwe lisaa.
Jan. 23, 2013, 6:08 p.m. GMT
Guest
jamani mbona hatuwapati hewani
Nov. 25, 2012, 9:43 a.m. GMT
Guest
Write something on this wall! mimi huwa nabarikiwa na kipindi cha neno trans world nairobi kenya mungu awabariki sana watumishi wote wa redio sauti ya injili mimi isack sufiani lushoto- tanzania.
Nov. 17, 2012, 8:06 p.m. GMT
Guest
NAPENDA KUWA KWENYE MITANDAO
Oct. 13, 2012, 8:27 a.m. GMT
Guest
Viongozi wa Dini mnayo kazi kubwa ya kurudisha imani kwa waumini wenu iliyopotea juu yenu
If you want to save the Lutheran Radio Centre live stream,
start sharing stations with friends,
or engage in a deeper Streema experience,
please register below.
Agness Chizua hongereni kwa kazi njema mnayoifanya!
May 17, 2013, 8:50 a.m. GMT