Lutheran Radio Centre - 6110 - Moshi

Save this radio to your Streema Favorites

Wall - Post a message

Guest

Guest

Bwana yesu asifiwe mim naitwa Arnold mosha kutoka Dar es salaam ninataaluma ya utangazaji kwa ngazi ya cheti. ninaomba kibali nifanye kazi nanyi nasali kkkt tabata.

April 10, 2014, 8:27 p.m. GMT

hopevictoria.masao

Hope Victoria Masao

Hello all in the name of Jesus. I come to you with a message from God. I have noticed that Chagga People Kill each other because of the Land and Traditional fights. In this case, many widows and children of decides fathers are left to fend for themselves. Now law of the land has managed to address t see more... his matter and its roots, rather touching the surface. I and my family are victims of this very tradition. Please go here and evaluate all the facts for the work of God ahead us in this great challenge in our very beautiful Moshi community. May the Lord God be with you and we say Amen! http://florentinamasaweinvadesvalerianhome.blogspot.com/ Please speak out for the truth, the Jesus kind of truth because, forgot not that Satan was master musician, magician and very good at laws. Not all Laws are from God either.

March 28, 2014, 1:17 p.m. GMT

Guest

Guest

kazi yenu njema

March 20, 2014, 1:55 p.m. GMT

Guest

Guest

mbarikiwe sana. nimekuwa nikiisikiliza tabgu nikiwa na miaka 5. popote niisikiapo najiihisi niko nyumbani. mbarikiwe saaaaaaanna

March 17, 2014, 10:35 p.m. GMT

mbaulekailole

Michael Mbaule

Mungu awabariki kwa kazi zenu nzuri,anzisheni vipindi vya kutoa elimu kwa vijana wanaojihushisha na ukahaba na madawa ya kulevya. by Michael Mbaule.

March 6, 2014, 4:07 a.m. GMT

Guest

Guest

Mungu awatie nguvu kwa kueneza neno lake amen!....Noel Japhet kutoka Dar Es Salaam

Feb. 23, 2014, 1:21 p.m. GMT

Guest

Guest

Nashukuru kwa huduma ya sauti ya injili ,kutoka nyumbani,Mungu awalinde na kuwapa hekima zaidi ,kwa huduma yenu asanteni sana,nawapata vizuri kutoka nje kidogo ya boston massachusets.

Jan. 5, 2014, 3:17 p.m. GMT

Guest

Guest

huku arusha redio inaptkana kwa shida sana na tunawapenda sana sa sijui mitambo mtairekebishaje mana tunakosa uhondo.loth onay arusha tanzania

Dec. 31, 2013, 1:42 p.m. GMT

Guest

Guest

mim ciwapati kwenye intanet

Dec. 4, 2013, 8:03 p.m. GMT

ezra.mbenanga.3

Ezra Mbenanga

Mungu mwema sana toka nimeanza kuipata redio hii kupitia internet nabarikiwa sana, Bwana awawezeshe kutenda zaidi na zaidi kwa utukufu wa Mungu wetu. MWINJILISTI MBENANGA

Dec. 4, 2013, 4:36 p.m. GMT

Guest

Guest

kwa kweli naipata vizuri sana hapa norway.kazi njema.Baikiweni sana.

Nov. 19, 2013, 7:56 p.m. GMT

Guest

Guest

Radio sauti ya injili naipata vizuri kabisa

Nov. 9, 2013, 6:19 a.m. GMT

Guest

Guest

mungu awabariki watu wote wanatumia muda wao kwa ajili ya watu wengine il wapate kumjua yeye aliye uziwa wa milele- amina

Oct. 10, 2013, 1:48 p.m. GMT

Guest

Guest

Sauti ya Injili ndio nyumbani hatuna mahali pa kwenda tunajivunia hapa Arusha kwa vipindi motomoto La, ni kama sauti ya mtu aliaje nyikani

Sept. 7, 2013, 1:12 a.m. GMT

djqcanada

djqcanada

Habari We are SIMBA PORI (The Wild Lions of Kilimanjaro) with a NEW CD 'MESSAGE SENT" all songs sung in English by Kiswahili singers, and produced by Canadian Daniel Quinlan we have a great NEW gospel hit 'With the Lord' how can wee get you a Mp3 of the song or a CD, any direction would be a great see more... help Thank you

May 28, 2013, 11:27 a.m. GMT

agness

Agness Chizua

hongereni kwa kazi njema mnayoifanya!

May 17, 2013, 8:50 a.m. GMT

Guest

Guest

Natumaini mna maono makubwa juu ya redio sauti ya Injili kwamba miaka ijayo iwe inasikika Tanzania nzima zaidi ya redio zingine zote. Mungu awe nanyi mnapopanga mipango hiyo. Mbeya hatuipati kirahisi.

Feb. 28, 2013, 1:36 p.m. GMT

Guest

Guest

Naisubiria sana sauti ya injii iingie kwenye mtandao mm nipo morogoro naitafuta sana kwenye mtandao naona bado haijawa tayari

Feb. 27, 2013, 1 p.m. GMT

Guest

Guest

hongereni bwana atawalipa siku moja

Feb. 12, 2013, 4:37 p.m. GMT

Guest

Guest

radio haipatikani jamani

Feb. 4, 2013, 7:52 a.m. GMT

Guest

Guest

hongereni kwa kazi nzuri nabarikiwa sana na kipindi cha tatizo langu naomba mkiongezee muda walau kiwe lisaa.

Jan. 23, 2013, 6:08 p.m. GMT

Guest

Guest

jamani mbona hatuwapati hewani

Nov. 25, 2012, 9:43 a.m. GMT

Guest

Guest

Write something on this wall! mimi huwa nabarikiwa na kipindi cha neno trans world nairobi kenya mungu awabariki sana watumishi wote wa redio sauti ya injili mimi isack sufiani lushoto- tanzania.

Nov. 17, 2012, 8:06 p.m. GMT

Guest

Guest

NAPENDA KUWA KWENYE MITANDAO

Oct. 13, 2012, 8:27 a.m. GMT

Guest

Guest

Viongozi wa Dini mnayo kazi kubwa ya kurudisha imani kwa waumini wenu iliyopotea juu yenu

Oct. 9, 2012, 8:42 a.m. GMT

Guest

Guest

hongereni xna

Sept. 19, 2012, 10:31 a.m. GMT

Guest

Guest

Radio haishiki

Sept. 14, 2012, 6:45 a.m. GMT

Guest

Guest

hongera sana kwa kuwakumbusha watu kujua Mungu muumba wa mbingu na nchi

Aug. 23, 2012, 9:20 a.m. GMT

Guest

Guest

sauti ya injili inatubariki sana, nawatakia kila la kheri katika utumishi wenu

July 23, 2012, 7:54 a.m. GMT

Guest

Guest

Bwana atulinde na kuwatia nguvu wote wanaosikiliza redio hii ya KKKT.

July 17, 2012, 10:02 a.m. GMT

Guest

Guest

mungu wa amani awape nguvu na moyo wa kuhudumia roho za watu

July 4, 2012, 3:24 p.m. GMT

Guest

Guest

Hakika nabarikiwa sana RSI na vipindi vyake. Mwenyenzi Mungu na abariki kila anayetumika kufanya kazi hii njema.

July 4, 2012, 11:34 a.m. GMT

Guest

Guest

Bwana wetu YESU KRISTO ASIFIWE,namshukuru mungu kwa ajili ya radio sauti ya injili,ukweli tunafarijika sana

June 26, 2012, 5:47 p.m. GMT

Guest

Guest

naitwa baraka

June 17, 2012, 2:51 p.m. GMT

Guest

Guest

mimi napenda kusikiliza sana sauti ya injili niko dar Es salaam nawapata kwa njia ya internet

June 17, 2012, 2:48 p.m. GMT

Guest

Guest

Mwenyezi Mungu awalinde na kuwabariki wote wanaotupatia neno la Mungu kupitia hii radio! Kwa kweli mnafanya kazi nzuri mno na inayoifanya jamii ya ndani na nje ya nchi kubadilika na kufuata mienendo inayofaa! Mungu awabariki sana!!

June 16, 2012, 5:10 a.m. GMT

Guest

Guest

Mungu Ibariki Radio sauti ya Injili, Mungu Ibariki Kilimanjaro, Mungu Ibariki Tanzania Amen. Ninapenda sana kuisikiliza Radio yetu na ninafarijika sana Maana ina vipindi vingi vizuri. Keep it up. God bless you !!!! Raymond Ndemfoo Maleco Shoo. Shinyanga.

May 8, 2012, 2:17 p.m. GMT

Guest

Guest

Mimi binafsi ninafarijika sana ninaposikiliza Redio Sauti ya Injili (RSI)Moshi. Hongereni kwa kazi nzuri ya kumtukuza Mungu. Jina la Bwana na lisifiwe Amen

March 16, 2012, 4 a.m. GMT

Guest

Guest

I love to be there but I wish I will be there soon as posible

Feb. 18, 2012, 5:22 p.m. GMT

Guest

Guest

tunawaomba muwe na facebook an pia skype ili tuweze kushiriki vizuri tukiwa nje ya nchi itakuwa ni aibu kubwa kwa radio kubwa sana kama yenu kuwepo ktkt mtandao wa internat ilihali hamna mitandao nilioitaja hapa juu. tunaomba mfanye hivyo.

Dec. 26, 2011, 11:59 p.m. GMT

Guest

Guest

tunafarijika sana tunapoisikiliza radio sauti ya injili moshi tanzania, Mungu awabariki wanaoiwezesha kusikika duniani kote.

Dec. 26, 2011, 11:56 p.m. GMT

Guest

Guest

MUNGU IBARIKI RADIO SAUTI YA INJILI MOSHI. HONGERENI SANA KWA KUWA TUNAISIKIA HATA NJE YA TANZANIA (Rev.Munisi Andrew)

Nov. 10, 2011, 4:59 p.m. GMT

Guest

Guest

I count it privilege to access this divine Radio that serve the Almighty God. Hongereni sana (Mwal. Invo Makyao)

Oct. 20, 2011, 8:36 p.m. GMT

Guest

Guest

i love jesus

Oct. 17, 2011, 7:52 p.m. GMT

Guest

Guest

GREETINGS FROM TATANISHA MUSIC & DANCING GROUP

Sept. 17, 2011, 10:25 a.m. GMT

Guest

Guest

haleluya Radio Maria

Sept. 5, 2011, 12:27 p.m. GMT

Guest

Guest

Hey I what to use this Radio but i can't i don't no why

July 17, 2011, 1:46 a.m. GMT

Guest

Guest

bwana asifiwe sana

April 20, 2011, 6:54 p.m. GMT

Guest

Guest

hi everybody! how ya doing?

April 20, 2011, 6:53 p.m. GMT

Guest

Guest

I moved to USA for a while now. I can say i missed listening to any swahili Radio. Is there any way that I can access sauti ya injili online live? and what is your expectation to have such a thing in the future? Please do something to help us who live outside of the country to have something to list see more... en to.

April 15, 2011, 4:28 p.m. GMT

Guest

Guest

BWANA YESU ASIFIWE

March 6, 2011, 6:34 p.m. GMT

streema-team

Streema Team

You should listen to Lutheran Radio Centre - a great Gospel station originally from Moshi, Tanzania.

April 21, 2010, 1:09 a.m. GMT

Playlist, tracklist, top songs played coming soon...

PC requires Windows Media Player - Mac additionally requires Real Player - See FAQs for more info on how to listen to live streaming radio.