GuestHii Radio mbona nashindwa ku isikia, nimeweza East africa radio,, io straight forward, Please drop me with some hints on how to connect to RFA online. PleaseFeb. 12, 2013, 4:28 p.m. GMT
Guesttaarifa ya habariDec. 14, 2012, 4:10 a.m. GMT
GuestTunawashukuruni Kwa Kuendelea Kutujuza habari za kitaifa na za kimataifa. i'm leopol.nzohumpa.com a man from Kigoma.Sept. 24, 2012, 6:53 a.m. GMT
GuestRadio free mbona hatuwapati on line sawasawa?! taizo ni nini Mwanza!?!?!? mi'naipenda sana Radio hii,ila mnaniboa sometimes! lakini nawapa big up! Kwa umahiri wa utangazaji wenu!July 23, 2012, 8:04 a.m. GMT
GuestHow come i can't find it ?May 12, 2012, 7:11 a.m. GMT
GuestJamani RFA ni maadili gani ya kurusha matangazo ambayo hayana maadili ya mtanzania kama lile tangazo la baba anamuomba ujumba mkewe hayo si maadili ya mtanzania jamani mnafundisha nini jamii ya kitanzania jamani hebu tubadilike jamani.April 29, 2012, 1:23 p.m. GMT
Guestna pia habari zinazosomwa mchana kwa siku husika tunaomba ziwekwe kwa wakati ili tuzisome kwani huku wilaya ya ludewa rfa hatuipati kufuatia milima mingiMarch 26, 2012, 9:29 a.m. GMT
GuestJAMANI RADIO FREE MNATUANGUSHA HUKU LEBANON TUNAPATA RADIO HAZINA HATA MAJINA WHY NOT YOU AMKA COME UP RADIO FREE I LOVE YOU TOO MUCH AND I MISS MY RADIO SHORA BAREGUMarch 14, 2012, 8:12 p.m. GMT
GuestMBONA HAMPATIKANI KWENYE MTAANDAO JAMANI BADO MNA MAMBO YA KIZAMI RFA HALAFU ONE OF THE TOP RADIO STATION IN TANZANIA HALAFU HAWA PATIKANI ONLINE KITU CHA KUSHANGAZA KABISA KATIKA HII KARNE KWETU SISI WANAFUZI TUNAO SOMA INCHI ZA NJEE NI JAMBO LA AIBUMarch 11, 2012, 4:02 p.m. GMT
GuestNaweza kuipata hii radio kwenye internet nikiwa nje ya nchiFeb. 6, 2012, 7:48 a.m. GMT
Guesthabari za leo leo bongo na wasaniiFeb. 3, 2012, 6:06 p.m. GMT
Guestnapenda kujua namna ya kuipata redio radio free africa niwapo nje ya nchi,tuelewesheni.Nov. 25, 2011, 5:17 a.m. GMT
Guestam by names abdalla from south sudan yei county am a number one listener and great fun of radio free afric and i dont know how 2 listen 2da radio on the internet radio coz i only find pride fm only on my menueOct. 8, 2011, 8:12 p.m. GMT
Guestthis is gud stuffMarch 5, 2011, 1:43 p.m. GMT
Guestaaahh kwa kweli nimemiss saaaaaaana radio free africa haswa kipindi kile cha kila siku asubuhi cha Fredwaaaaa. na sisi ambao tunaishi mbali kidogo ya nyumbani twaomba radio free iwe online kwa net jamaniFeb. 25, 2011, 8:39 p.m. GMT
GuestHow to listen onlineFeb. 15, 2011, 7:01 a.m. GMT
GuestMIMI LIFE JUSTIN MWALONGO NAMTAFUTA MAMA YANGU MZAZI JINA LAKE MWANAMWALI MARIA NI MCHAGA NILIPOTEANA NAE MOSHI TPC MWAKA 1980 SABABU NI UGOMVI WA WAZAZI BABA ALITUCHUKUA NA KUJA KUISHI NJOMBE KIJIJI CHA IGAGALA TLIZALIWA WANNE WAWILI WAMEFARIKI AMBAO NI KAKA MKUBWA ANAEITWA PITA NA MDOGO WETU WA MWISHO GERE MWALONGO NA BABA MZAZI AMEFARIKI MWAKA HUU ALIKUA AKISUMBULIWA NA KANSA YA SHINGO TUME...Dec. 16, 2010, 11:12 a.m. GMT