Radio Citizen FM - FM 106.7 - Nairobi

Save this radio to your Streema Favorites

Chem chemi ya Ukweli

Wall - Post a message

Guest

Guest

nataka where located

April 3, 2014, 1:26 p.m. GMT

Guest

Guest

Beki im getting u loud n clear. Gud job wel done. Nawatakia chelsea ushindi.

March 22, 2014, 1:05 p.m. GMT

bonface.onwonga

Bonface Onwonga

mseto i get u clear

March 12, 2014, 11:50 a.m. GMT

james.mbeta.3

Eugine Kebago

i get u loud and clear from kuwait

March 11, 2014, 4:38 a.m. GMT

Guest

Guest

Tina habari,huyo mwanamke ni wa kwanza kujilipia mahari duniani kwa hiyo yeye ni kama amejioa,hiyo tabia mbaya sana tina.

Feb. 27, 2014, 3:10 p.m. GMT

Guest

Guest

Middle East getting u loud en clear. we love Radio Citizen. Blessed love!

Feb. 25, 2014, 5:21 p.m. GMT

Guest

Guest

Najisikia kunguruma kama fred,nikonakipawa kama hiki hiki chake,naweza aji kweli,kupata nafasi,hatakama yawezekana nikawa mtu wa kujitolea

Feb. 22, 2014, 10:04 a.m. GMT

suzie.aisha

Suzie Aisha

Volume is low on your side.

Feb. 15, 2014, 9:32 a.m. GMT

suzie.aisha

Suzie Aisha

Susan mimi hapa nipo ndani ya south sudan western barl-gazal wau, Sir Machoka unani roga roga tu.

Feb. 15, 2014, 9:26 a.m. GMT

Guest

Guest

hamjambo kikosi mimi ni Omanga wa sokoni Manga ninamangamanga kwenda Namanga kumanga ugali. Siku njema.

Feb. 10, 2014, 2:48 a.m. GMT

Guest

Guest

Am getting Radio Citizen streaming for the first time here in Islamabd Pakistan. Keep it up Radio Citizen

Feb. 9, 2014, 6:19 a.m. GMT

Guest

Guest

Nichapie ngoma ya chikuzee " mapenzi .

Feb. 5, 2014, 12:14 p.m. GMT

Guest

Guest

HI, WHERE`S YOUR PHYSICAL LOCATION ? I WISH TO BRING MY GOSPEL CD TO BE PLAYED ON AIR.

Jan. 25, 2014, 9:45 a.m. GMT

BlessedKeen

BlessedKeen

Thanks for the excellent streaming!For the first time i am enjoying vivid broad cast from Kenyan radio stations while in diaspora-Shanghai China!Asanteni sana! Am currently enjoying non-stop gospel mix on Radio citizen.

Dec. 22, 2013, 6:59 a.m. GMT

philip.chirchir

Philip Chirchir

we need help, we are held up at Bentiu South sudan. Many people are suffering here, woman raped, property stolen,and lives threaten as civil war goes on. The Kenyan government has only evacuated people in Juba but left 2500 in Bentiu (Unity state) we are appealing for help, we are facing death thre see more... ats after ugandan solders were deployed in Juba seen to have come to help President Kiir. Bentiu now is in the hands of Rebels and we are locked up at WFP and some at UNIMMIS

Dec. 21, 2013, 1:55 p.m. GMT

Guest

Guest

hey am in iraq and cant get this streaming advice pleace

Dec. 9, 2013, 9:27 a.m. GMT

Guest

Guest

I'm writing this message from Tanzania in Kigoma region. I want to be one of your reporter in this zone if you will not care. My address phone number is 255 763 42 80 43/shomariidd@yahoo.com

Dec. 9, 2013, 8:46 a.m. GMT

Guest

Guest

oyooooooooooooooooo pinga nduruu mazeeeeeee nawasomaaaaaa goood kupitia net nipo kipande ya tz Arushaa

Dec. 5, 2013, 10:32 a.m. GMT

Guest

Guest

LIKE VERY MUCH

Dec. 1, 2013, 9:25 p.m. GMT

fhvq54uy

fhvq54uy

phillip mose from New york wanapata hapa poa....wishing everybody goodnight

Nov. 26, 2013, 6:01 p.m. GMT

Guest

Guest

kiprono from Dallas Texas jambo kenya i wanna wake up all kenyanz blessed week

Nov. 25, 2013, 2:40 a.m. GMT

tony.bett.581

Gilbert Sang

mimi ni gilbert kutoka molo masaideni kachorwe niko ndani yake shikilia hapo.

Nov. 24, 2013, 9:20 p.m. GMT

Guest

Guest

Uhuru must respect constitution bcoz its clear that the role of mps is 2 oversight thus no reason 4 him 2 av lame excuses that the cs wont av time 2 do their work.mburugu Raphael frm meru

Nov. 12, 2013, 4:37 a.m. GMT

wanjiahmakokha

wanjiahmakokha

FROM MOMBASA,PLZ PLAY FOR ME NAMISIMISWAPI WHENEVER I LISTEN TO IT,NOSTALGIC MOOD OVERPOWERS ME.MACHOKA MAY GOD BLESS YU ABUNDANTLY.MAKOKHA MICHAEL

Nov. 9, 2013, 9:22 a.m. GMT

Guest

Guest

KUTOKA NDAMICHONIK LAKINI SAA HII NIKO ELDAMA RAVINE.NIKO NDANI YA CITIZEN

Nov. 3, 2013, 2:55 a.m. GMT

bishoprandu

Wakinyee Zhoomu

love radio citizen especial drive on by tina ogaro and kamau munywa

Nov. 1, 2013, 9:38 p.m. GMT

Guest

Guest

Fumbo.ni mtoni .kimani kutoka molo.0711542458.hupeleka maji inbyotakiwa na binadamu na wanyama

Oct. 18, 2013, 2:12 p.m. GMT

Guest

Guest

redio citizen mimi ninaitwa stephen kipmaru kemboi kutoka nandi hills citizen inashika juu xana wakriso simamameni kwa himani.

Oct. 13, 2013, 5:29 a.m. GMT

Guest

Guest

Wimbo.bane.ya olivier ngoma.kimani kutoka molo.

Oct. 4, 2013, 9:31 a.m. GMT

Guest

Guest

Sauti.kimani kutoka molo.0711542458.ni cpu ya compter.ikifanya kazi.

Oct. 4, 2013, 9:29 a.m. GMT

Guest

Guest

Fumbo.kimani kutoka molo.0711542458.ni mwangaza.unauwezo wa kwenda juu na chini bila kwenda kando.

Oct. 3, 2013, 2:18 p.m. GMT

Guest

Guest

Fumbo.kimani.kutoka molo.0711542458.ni mwangaza.unauwezo wa kwenda juu na chini.

Oct. 2, 2013, 2:50 p.m. GMT

Guest

Guest

Samsung.0711542458.kimani kutoka molo.alipewa box.

Oct. 2, 2013, 2:48 p.m. GMT

Guest

Guest

M-kopa solar.jana nilikula na mwangaza wa tochi baada ya koroboi kupoa ghafla ilikuwa balaa

Sept. 30, 2013, 2:36 p.m. GMT

Guest

Guest

Fumbo.kimani kutoka molo.ni mawe ukirusha juu

Sept. 30, 2013, 2:34 p.m. GMT

Guest

Guest

Wimbo.bandilisha.kimani kutoka molo.

Sept. 30, 2013, 1:55 p.m. GMT

Guest

Guest

Fumbo. 0711542458.kimani kutoka molo.jibu nadhani ni giza.kunapo giza unahitaji mwangaza ndio uweze kufanya kitu.

Sept. 26, 2013, 1:09 p.m. GMT

Guest

Guest

Fumbo.kimani kutoka molo.0711542458.ni giza.usipokwa na mwangaza inatatiza na watu hawaipendi

Sept. 26, 2013, 1:04 p.m. GMT

Guest

Guest

jambo kenya,ni dan kutoka meru,i tell kenyans 2 fast and pray 4 our nation

Sept. 23, 2013, 6:48 a.m. GMT

Guest

Guest

Good morning Jambo Kenya, today morning at around 6:20 am you talked about an Italian football team that had gone to some tournament and lost/ won all its games and disbanded to form a new team....which team was this? i did not get the name..would really appreciate hearing from you.

Sept. 11, 2013, 6:16 a.m. GMT

Guest

Guest

mogire following you babu

Sept. 7, 2013, 10:57 a.m. GMT

Guest

Guest

JAMBO KENYA DINAH NA MONAI, GOCHA NAAMSHA WANACHAMA WA MICYNHA KENYA TUKUTANE RED CROSS MIGORI LEO, SAA TATU ASUBUHI. NI BOKE MZUNGU WA KOMOMANGE.

Sept. 7, 2013, 3:06 a.m. GMT

godiekitt

Godie Kit

soma hiyo number ya sms ya sauti ya kazi

Aug. 28, 2013, 9:06 a.m. GMT

Guest

Guest

thanks tuva 4 the good job.

Aug. 24, 2013, 4:15 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Kcb.homeloan.kutaitwa gatembo.house. 0711542458.gatembo kutoka molo.

Aug. 23, 2013, 2:39 p.m. GMT

Guest

Guest

mzazi ur show is just a flow!great!

Aug. 23, 2013, 11:58 a.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Sossi.baking.unga ngano.weka maji uchanganye na sossi na mafuta na ukande .harafu kata pieces na ubake.kwa muda.0711542458

Aug. 23, 2013, 8:58 a.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Sossi.baking.unga ngano.uchanganye na sossi na mafuta na maji na ubake.kimani molo.0711542458

Aug. 23, 2013, 8:53 a.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Kcb.homeloan.kimani kimani kutoka molo.nilipema nyumba na babu yangu wakati nilikuwa nasoma.lakini hiyo nyumba ilikuwa ikimwaga maji mvua ikinyesha.sasa niliweka karatasi ya nylon juu na kuzuia kitanda isinyeshe.nilikuwa natamani nyumba nzuri.

Aug. 19, 2013, 2:33 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Fumbo.0711542458.ni simu.kimani kutoka molo.

Aug. 19, 2013, 2:26 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Fumbo.0711542458.ni traffic lights.

Aug. 19, 2013, 2:22 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Fumbo.kimani kutoka molo.ni mbwa

Aug. 19, 2013, 2:21 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Fumbo.kimani.kutoka molo.moto

Aug. 19, 2013, 2:20 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Fumbo.kimani molo.stima

Aug. 19, 2013, 2:18 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

WFumbo.0711542458.kimani.kutoka molo.traffic lights wewe maggie ni wewe uko?

Aug. 19, 2013, 1:21 p.m. GMT

Guest

Guest

hi willy m tuva,am phellow kubili and am listening from Kakamega ,show yako inatubamba mbaya

Aug. 19, 2013, 11:51 a.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

0711542458.cpu ya komputa unapowasha.kimani molo.

Aug. 19, 2013, 9:46 a.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Sauti. 0711542458.simu saa ile imekosa kuingia.hakuna network au kukatika.

Aug. 19, 2013, 8:45 a.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Haukoa simu.nikashinwa ni muda ulisha.kwasababu ulisema wakati wako umeisha na unamkaribisha papa nasty. 0711542458.kimani molo.

Aug. 18, 2013, 9:38 a.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

0711542458.haukutoa.nikashindwa ni nini.kimani evan kutoka molo.

Aug. 18, 2013, 8:57 a.m. GMT

Guest

Guest

hapo machokaa kiplaaa

Aug. 18, 2013, 8:22 a.m. GMT

ndungu4

gabriel ndungu

you guys of citizen radio do us in the diaspora proud. without you we wont know what is happening around the world. Wakenya watembee wajue how advantaged we are. God bless Kenya yetu

Aug. 17, 2013, 9:58 a.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Fumbo.kimani .molo.ni figo

Aug. 17, 2013, 3:53 a.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Fumbo.ni kanisa.email.kimanievan@yahoo.com

Aug. 16, 2013, 2:28 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Fumbo.ni sebule.kimani kutoka molo.0711542458.au KA

Aug. 16, 2013, 2:27 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

KCB.HOMELOAN.KIMANI.0711542458.NI WAKATI TULIPEWA NOTIce ya kuhama.lakini majirani walisema watanunua plot zao.na mimi ilikuwa kutafuta

Aug. 16, 2013, 2:21 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Fumbo.kimani 0711542458.ni nduka

Aug. 16, 2013, 1:30 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Sossi.kimani kutoka molo.kupika kubikubi(nguya).osha na uzikaushe.kaanga kitunguu na nyanya.ikibandilika rangi ya brown ongeza maji kiasi .ukichemka weka sossi na kubi na chumvi kiasi.iepe dakika tano.kisha toa kwa kula na wali.0711542458

Aug. 16, 2013, 9:28 a.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Sauti,ni presser mashini ya drycleaner.kimani kutoka molo. 0711542458

Aug. 16, 2013, 8:57 a.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Kamau niwekee bane.ya oliva ngoma

Aug. 15, 2013, 5:58 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Sauti.ya kazi.kimani kutoka molo.0711542458.ni mtu akitumia mashine ya kukausha nguo ya drycleaner

Aug. 15, 2013, 5:56 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Fumbo.kimani kutoka molo.ni nduka.0711542458

Aug. 15, 2013, 5:35 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Driveon,chapakazi.na jambo kenya.posting kwa wall.ina shida na jaribu inakata

Aug. 15, 2013, 2:54 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Kcb.easyloan. 0711542458.ni wakati niliambiwa nihame kwa kukosa kulipa awali pesa ya mwezi moja.na mama wanjiku.na ni shillingi 200.watu wa plot wakashangaa.kimani kutoka molo

Aug. 15, 2013, 2:42 p.m. GMT

evan.kimani.79

Evan Kimani

Fumbo.ni mortuary.0711542458

Aug. 15, 2013, 2:20 p.m. GMT

eliud.mulupi

Eliud Mulupi

Home away from home@listen to Jambo kenya live steam@citizen kenya

Aug. 13, 2013, 5:04 a.m. GMT

Guest

Guest

inashika ile mbaya

Aug. 10, 2013, 9:27 p.m. GMT

fredrick.olangkwatch

Fredrick Olang Kwatch

Eid mubarak,,we ar gettingb u loud and clear here in dar es saalaam TZ..okwatch

Aug. 10, 2013, 1:43 p.m. GMT

Guest

Guest

EID MUBARAKA FOR ALL MUSLIM

Aug. 8, 2013, 8:26 a.m. GMT

ndungu4

gabriel ndungu

What has transpired at JKIA. am in Bujumbura and TV reception here is usually very poor.

Aug. 7, 2013, 12:01 p.m. GMT

Guest

Guest

mbona sauti haiko powa..

Aug. 7, 2013, 7:32 a.m. GMT

kiblack

kiblack

Kamau munywa! heko! na kupata kwa njia safi kabisa hapa Italia! Tafadhali chezea Mama Kiiru, ndugu zangu na wana St. Peter Upendo katika parokia ya St. Timothy wimbo "Mchanganyo" wa Kwaya ya Tanzania.. Nashukuru!

Aug. 4, 2013, 6:30 p.m. GMT

Guest

Guest

we are connected lound and clear Sweden

Aug. 4, 2013, 3:12 p.m. GMT

Guest

Guest

mzazi npe moja ya bongo stars kigoma remix

July 31, 2013, 11:40 a.m. GMT

Guest

Guest

Listening to Radio Citizen online

July 30, 2013, 10:25 a.m. GMT

Guest

Guest

ajilia Zaidi. Huo mziki umenipamba mimi mtoto wa bara. Haki!

July 28, 2013, 4:49 p.m. GMT

Guest

Guest

ancle frend my name is mark murumbi nikiwa hapa2.nthambiro show yako ni noma kiasi tfdhala unichezee song moja wazimu yake sammy kasuri

July 28, 2013, 10:09 a.m. GMT

Guest

Guest

cit ikojuu2sana ninaipenda kwa mseto extr na nyimbo za kykiristo

July 28, 2013, 6:47 a.m. GMT

Guest

Guest

I have been staying in Maralal now for four months why is it that radio citizen is not heard there? does royal media have a signal f in Samburu?

July 26, 2013, 5:44 p.m. GMT

joseph.mukachelelwa

Joseph Mukachelelwa

Joseph mukachelelwa

July 25, 2013, 1:27 p.m. GMT

Guest

Guest

like yourshows.

July 23, 2013, 5:33 p.m. GMT

Guest

Guest

Fumbo ni kalamu.kimani molo.0711542458

July 22, 2013, 2:35 p.m. GMT

Guest

Guest

mzee moi takes the crown no matter what kwanga eldoret

July 21, 2013, 9:06 a.m. GMT

Guest

Guest

Niaje Willy ni vicky nikiwa na listen live online na request inichezee song ya shyne ward - damaged plz aki yaani.. day poa

July 19, 2013, 10:31 a.m. GMT

Guest

Guest

ni Victor show ya leo imenibamba, Madam Jarida..big up!

July 19, 2013, 9:28 a.m. GMT

Guest

Guest

I appreciate u sincerely thanks alot for your good work of enlightening Kenyans

July 18, 2013, 5:28 p.m. GMT

Guest

Guest

you are my no 1 choice radio station. All the best.

July 18, 2013, 9:32 a.m. GMT

Guest

Guest

Wapi ya kanze dena mwandishi wa habari hodari je! hitakuaje?

July 17, 2013, 6:58 a.m. GMT

Guest

Guest

Jambo kenya kweli kumenawiri kenya nzima burudani pia toa nyoka pangoni ni evans kiprotich,kutoka kipsaraman baringo

July 17, 2013, 6:47 a.m. GMT

Guest

Guest

Uncle Fred, Claire Chemoiywa hapa nikiwa Dar es Salaam-Unaniroga vinoma hapa ofisisni. Wasalamie watu wote wa Baringo County na Chemoiywa Family wakiwa Kasoiyo

July 13, 2013, 8:53 a.m. GMT

Playlist, tracklist, top songs played coming soon...

PC requires Windows Media Player - Mac additionally requires Real Player - See FAQs for more info on how to listen to live streaming radio.