Radio Kwizera - FM 97.9 - Ngara

RADIOKWIZERA.ORG

  • Guest Radio kwizera Naitwa uwezo niko Arusha Hi! kwa watangazaji wote April 17, 2013, 9:33 a.m. GMT
  • Guest radio kwizera April 16, 2013, 7:56 a.m. GMT
  • Guest NAITWA LEWIS LIINUS WILLAH, NIKIWA ARUSHA, SALAMU ZANGU ZA KWANZA ZIMWENDEE IRENE MASUNKO AKIWA KINAZI KASULU, 2} NDAYISABHA NKOTANYI AKIWA MGANZA KASULU, 3} LEVINI WILLAH AKIWA KIGADYE KASULU. UJUMBE: ASHINDAYE KWENYE JEMBE HAFI NJAA. March 20, 2013, 11:57 a.m. GMT
  • Guest kwajina na hitwa feza mukandama kutoka portugal(ureno)salamu zangu za kwaza jiwaendeya watangazaji wote waredio kwezere, zapili zi waendeya dungu jamaha na marafiki wote waliongo kambini nyarugusu.ujumbe tukumbukane kupitiya redio yetu kwezea redio mama . March 18, 2013, 3:44 p.m. GMT
  • Guest jina langu ni emedi munga nipo portugal ureno samu kwa watangazaji hote wa radio kwizera samu kwa wandugu hote na marafiki wakiwa katika kabi la tanzania nyarugusu camp kasulu kigoma salamu sana March 18, 2013, 3:35 p.m. GMT
  • Guest Jina langu Tina ningependa kuwasalimia watangazaji wote wa Radio Kwizera na kuwaambia kwamba mungu anawapenda sana, Salamu zangu ziwendee wa Adventista Wasabato wote ulimwenguni haswa watanzania. Asanteni. March 14, 2013, 9:36 a.m. GMT
  • Guest kutumaujumbe March 10, 2013, 11:25 p.m. GMT
  • Guest vizuri Jumapili kwa jina langu wote ni Richard magrisi kusema hi kwa rafiki yangu na kwenye redio wakati mzuri Feb. 24, 2013, 8:14 a.m. GMT
  • Guest jina langu ni richard magrisi nataka kusema hi kwa rafiki yangu wanaishi katika brundi na tanzania tana naishi Australia Feb. 24, 2013, 8:09 a.m. GMT
  • Guest jeg likker radio kwizera Feb. 17, 2013, 4:54 p.m. GMT
  • Guest jaman RK fanyen mpango ili tuwapate tunaipenda redio yetu siyo siri nimepakumbuka nyumbani kasulu. By DUNIA N Feb. 7, 2013, 3:29 p.m. GMT
  • Guest Happy new Year kwa watangazaji wote wa radio Kwizera. Jan. 13, 2013, 8:29 p.m. GMT
  • Guest THANKX FOR THIS SERVICE Jan. 11, 2013, 2:57 a.m. GMT
  • Guest good morning Dec. 30, 2012, 4:33 a.m. GMT
  • Guest I am pasco bwambale in rukaragata biharamulo .that man does not love her and he has no true love for her. however, she also did a mistake to show and give him things before marriage pole sana dada Dec. 13, 2012, 8:26 p.m. GMT
  • Guest HATUWAPATI VIZURI Dec. 1, 2012, 3:56 p.m. GMT
  • Guest MBONA SOMETIME RADIO KWIZERA HUWA INAKATIKA NI KWA NINI .NAISHI CHINI MAREKANI. Dec. 1, 2012, 3:54 p.m. GMT
  • Guest habari ya aliyetafunwa viungo viungo wilayani kibondo Nov. 29, 2012, 6:04 a.m. GMT
  • Guest im really in love with radio kwizera Nov. 28, 2012, 5:50 p.m. GMT
  • Guest i would like to kusikiliza my fovoritevradio Nov. 27, 2012, 10:28 a.m. GMT
  • Guest Radio ya watu.naipenda kwa jinsi inavyoburudisha na kutoa habari za kweli. Nov. 27, 2012, 9:36 a.m. GMT
  • Guest mambo vipi,ningependa kuisikiliza radio yenu online,nipo uachita baptist arnkansas USA.Naitwa joshua bihali. Oct. 18, 2012, 8:24 p.m. GMT
  • Guest kwanini hiseme Oct. 16, 2012, 7:14 p.m. GMT
  • Guest kwanini hisem Oct. 13, 2012, 10:04 a.m. GMT
  • Guest hey radio kwizera my name is angelina i would love to listen to your radio i live i america Oct. 10, 2012, 8:14 p.m. GMT
  • Guest mambo za apo Oct. 6, 2012, 4:44 p.m. GMT
  • Guest eze in dar,listening RK fm right from DAr es salaam. nimepamiss home. peace!! Sept. 23, 2012, 7:34 p.m. GMT
  • Guest Henri aka Theblues kutoka USA we all mess RK Sept. 19, 2012, 3:37 a.m. GMT
  • Guest i missed top ten on RK Sept. 19, 2012, 3:36 a.m. GMT
  • Guest Kama vp nitwangie kombora lake Asher marlon known as ganja planter,coz that guy myself i call him uncle coz 4 his manuva. Sept. 13, 2012, 1:39 p.m. GMT
  • Guest Nawapa hi wana ngara wote popote mlipo. Mzidi kuipenda na kuikumbuka ngara.mimi baraka. Sept. 11, 2012, 9:57 p.m. GMT
  • Guest Hello Kwizera!!!! Mimi naitwa Danny,naishi Sweden,kwanza niataka kuwashukuru kwa kuingia online ili nasi tulombali na nyumbani tuwapate,ninachoomba lekebisheni mitambo ya online coz hatuwapati vizuri,tunaipenda sana radio kwizera,,,,,mwisho namsalimu Mariagoleth Rwamuzigu,,,,,,,Mungu awe nanyi. Sept. 3, 2012, 10:55 a.m. GMT
  • Guest radio kwizera burudani , from ngara tanzania Aug. 25, 2012, 12:34 a.m. GMT
  • Guest munasemaje mimi ni lobert niko usa nawasarimu wakina emmanuel buhohera imani musigwa mungu awabariki sana na wengineo Aug. 24, 2012, 3:38 a.m. GMT
  • Guest salam zangu zimufikiye malafiki zangu wapo mtabil camp na maamilia,wapenzi, kwaaya ya mtakatifu peter ya kanisa la katolika mtabila ya kwanza hata na watu wota ambayo wanao sali kwa hiro kanisa na nilikua nataka kuambia eti mungu yupo nanyi. alikua ni fiacre malekani Aug. 22, 2012, 12:34 a.m. GMT
  • Guest Salam zangu ziwafikie. Askari polisi wote namba 'H' ambao wako mikoa ya kagera, kigoma na sehemu zote inaposikika radio kwizera. Ujumbe tufanye kazi kutokana na mabadiliko ya jeshi. Niko Ngara mjini Aug. 20, 2012, 5:08 a.m. GMT
  • Guest Jamani watangazaji mbona wakimbizi hatupati Simulizi na Mziki kutoka radio kwizera hapa USA hatujuwi labda Bonifase Mpagabe na Emmanuel Buhohela mumewatiwa kazini ,tupeni vitu motomoto kutoka RK ni wenu Jamari bajampaka. Aug. 10, 2012, 12:34 a.m. GMT
  • Guest tunafurahia kusikiliza radio kwizera hapa USA wakimbizi sote tuburudisheni jamaani kilasiku. salamu kwa justine marwa na edwine ,katekista Andrea Mudeshi pale kifura ,Fuljensi Dogo wa kaziramihunda na kwa paroko wa kibondo na Thomas Niyonsaba pa Mutabira camp ni jamayenu Jamari bajampaka. Aug. 10, 2012, 12:17 a.m. GMT
  • Guest Hi Radio Kwizera mimi naitwa BAJE Kakoko kutoka DSM nawapa salaamu wafanyakazi wote wa Radio kwizera, Wanakijiji wote wa Munjebwe-Rulenge na wote wanaonifahamu popote walipo. Nawapa hongera Radio kwizera kwa kutoa huduma yenu kupitia online. Haya ndiyo mageuzi ya teknologia ya habari. Mungu awabariki sana. July 27, 2012, 12:56 p.m. GMT
  • Guest mimi ni mediatrice livuzimana niko australia kwanza nawapa salaam wafanyakazi wa radio kwizera pia nakumapa salamu kaka yangu jonh akiwa muyinga burundi nafamiriya yake napiya wifiyangu zaujiya akiwa remera kalibu ya chuochamaendereyo nafamily yake piya na ngugu wanawo nifahamu nawatakiya mafanyikio July 2, 2012, 1:49 p.m. GMT
  • Guest Naitwa Hans Amani wa New York, nawa2mia salamu marafiki zangu wote wako afrika mashariki hasa hasa Tanzania na Burundi. Mungu ibariki Afrika June 28, 2012, 3:47 a.m. GMT
  • Guest naitwa jack kakozi kutoka Ireland salam zangu kwa ma sungusungu wote kwenye ya Nyalugusu June 27, 2012, 6:59 p.m. GMT
  • Guest Naitwa Ken Ndabagoye (UNCLE) nikiwa MTWARA, napenda kuwapa HI washikaji wote wa MUKIDIDILI, ngara,marafiki zanu wote wakiwa Ngara -MUJINI- bila kuwasahau watangazaji na wafanyakazi wote wa RK. G to the B upo? NAIMISS RK vibaya sanaaaaa Hapa Mtwara hakuna kama RK. KEEP IT UP GUYS. June 18, 2012, 10:23 a.m. GMT
  • Guest Naitwa kwa jina la OLEKO Joseph - OKITANKOY nikiwa New Zealand nawasalimu wenzangu walimu hapo college de la charite kambini nyarugusu , BUHOHELA na KANGETA wakiwa hapo Radio Kwizera, ma veterinary wote wakiwa Nyarugusu camp na marafiki wote ambao wako Nyarugusu na wote ambao wananifahamu bila kusahau EDYMOND ALFRED akiwa Kasulu mjini. nawaambiya wote tupo pamoja. June 17, 2012, 8:25 p.m. GMT
  • Guest Kwa nini Radio Kwizera haipatikani kwenye internet? Nini inakosekana? Napendelea kuwa nasikia radio hiyo huku Marekani nilipo. Asante kwa kuwa mtafanyia kazi mahitaji yetu. June 10, 2012, 2:43 a.m. GMT
  • Guest jamani nyote huko tanzania hanjambo May 27, 2012, 7:58 p.m. GMT
  • Guest jamani kwanini hamtii nyimbo za kiswahili May 27, 2012, 7:56 p.m. GMT
  • Guest vipi mbona siwapati kwenye internet? April 30, 2012, 10:27 p.m. GMT
  • Guest tz radio kwizera fm 97.9-ngara-tanzania April 18, 2012, 10:04 p.m. GMT
  • Guest Radio Kwizera mbona kimya??? Nini mnacho kosa hadi amsikiki kwenye internet?? Tunaitaji kusikilisa radio Kwizera na huku Norway! Asante kwa sababu mtasikiliza maoni yetu sisi walio kuwa wakimbizi from Kigoma(Nyarugusu, Lugufu, Mtabila, Nduta, Kanembwa, Rukole.....) April 14, 2012, 10:13 p.m. GMT
  • Guest we'd like to listene RK online in Australia April 7, 2012, 6:52 a.m. GMT
  • Guest nafurahi sana kuona radio Kwizera online japo haijaweza kusikika huku tuliko! Hongereni sana kwa kazi nzuri, mungu azidi kuwabariki sana! Baraka Rusasa, SJ April 4, 2012, 7:52 p.m. GMT
  • Guest kwanini radio kwizera haitumiki tunaitanji March 30, 2012, 2:48 a.m. GMT
  • Guest Naitwa Steven Gerald Napatikana kwenye Facebook na niko Marekani ningepnenda niwe nasikiliza Radio Kwizera Online or live.kama tunavyo sikiriza nyingine radio kama WWW.SANGANIRO.ORG OR WWW.BONGORADIO.COM izo radio tunazipata 24 hours. nitasukuru endapo nitajibiwa kwa mawasiliano zaidi tumia my email stevengerald15@yahoo.com March 25, 2012, 7:20 p.m. GMT
  • Guest naitwa kwa jina MANASE BIN BENDERA naishi pretoria (south africa ) nawasalimu ndugu na marafiki wakiwa NYARUGUSU camp ,KAZIMIA . March 25, 2012, 6:52 a.m. GMT
  • Guest nahitwa kwa jina MOYO ANZURUNI naishi south africa nawasalimu wazee wangu ANZURUNI MOYO na MWAVITA KIZA wakiwa kambini nyarugusu na marafiki wote SHISHAMU BOSOKA , MAONYESHO MUKANDAMA , weekend njema kwa wote . March 25, 2012, 6:48 a.m. GMT
  • Guest nahitwa kwajina la emmanuel naishi australia naomba wandugu wote ambao wako nyarugusu camp salamu zangu ziwafikiye sana mimi mzima piya bila kusahau emmanuel buhohera na mazibo kangeta March 23, 2012, 11:03 a.m. GMT
  • Guest hi, naitwa george nipo b,mulo.hilo mchango la mil 7.hiyo fitina 2.citapokea. March 21, 2012, 12:11 p.m. GMT
  • Guest hi naitwa jamila maarufu dadi napatikana new zealand napenda kupeperusha salamuzangu kwanza nikwaasali wangu wangu wa moyo jislain na rafikizake yote,pili nikwa bina mu yangu mpendwa dany nafamilia yake na wengine wote wanao nifahamu kambini nyarugusu.march 15,2012, 9;27 pm gmt March 15, 2012, 7:59 a.m. GMT
  • Guest hi naitwa katulitsa niko mkwawa university nawapa hi. baba, baba mama, mashemeji wote wa nyumbani. me mzima tu wote hao wako myaga kitahana- kibondo March 10, 2012, 1:01 p.m. GMT
  • Guest je mapelle george kanani,..chaque moment ou je vois le mot, radio kwizera, . namkukmbuka xana Rose kiwia..ivi yuko wapi??? March 7, 2012, 8:11 p.m. GMT
  • Guest hi, naitwa Jack kutoka Ireland naipenda sana radio kwizera, naikumbuka sana kipindi nilipokuwa kambini lugufu, ilikuwa inaniburudisha sana na vipindi vyake moto-moto, naomba hiwekwe online ili ituburudishe hapa Europe pia March 7, 2012, 3:12 p.m. GMT
  • Guest naitwa joan rwegoshora naishi ngara naipenda saana radio kwizera please iwekeni kwenye satelite na mtandaoni March 7, 2012, 9:36 a.m. GMT
  • Guest my name is david I live in U.S.A I greeting my friend clement he live in nyarugusu another greeting loan until my brother zidot exi fire message : GOD is so goood all time Feb. 22, 2012, 5:51 a.m. GMT
  • Guest naitwa ndoli nyugwa wa kasulu naomba wimbo wa sa m usiniache mchumba uwafikie wadau wote wa rk Feb. 16, 2012, 9:16 a.m. GMT
  • Guest Kiukweli mnatisha nawapa big up! Endeleeni kukandamiza.Hai kwa watangazaji wote wa kwizera. Feb. 14, 2012, 6:49 p.m. GMT
  • Guest I love this radio Feb. 7, 2012, 9:55 p.m. GMT
  • Guest vipi mimi ni Patrick Meyangandu nahishi Marecan mimi ni mkimbizi hambaye hame kuja Mareca namukitakaniwa shidiye munijuliche ku FACEBOOK jina ya facebook ni ditopil19@yahoo.com Feb. 4, 2012, 7:53 p.m. GMT
  • Guest mimi na itwa claude kutaka america naipenda sana radio kwizara lakina nakosa huwezo wa kusikiliza kwenye mtandao i meaning on internet kwanini radio kwizera aipatikani hapa marecan kwenya mtandao tuwachane nailo napenda kumsalimia baba yangu yuko hapo nyarungusu camp anaitwe vecent maharufu vesa nimimi kwanaya claude kutoka marecan namwengi mama didie yuko hapo nyarugusu camp nawengina yote ma ... Jan. 11, 2012, 7:50 p.m. GMT
  • Guest mimi naitwa hakizimana moises namusalimia na anzia kwa mkubwa wangu ikiwa k ambi ya mtabila camp anaitwa hatungimana ezechiel namke wake tena namusalimia mtanzania akiwa kijiji cha buhoro akiwa rafiki yangu anaitwa huruma eliasi anapatikana majengo kahunga akipenda anaweza kunipigia 4802048631 au marafiki wanaweza kuchuwa namba hi4802048632 hi 480 2048631ok thenks radio kizera end happhy new y... Jan. 10, 2012, 9:19 a.m. GMT
  • Guest FLUGENCE NDUGU WATANGAZAJI MKIFANYIKISHA KUMPATA STAMILI MPENI NAMBA HIII5057121642 NI MFANYA BI ASHARA KIBONDO NA ZAWADI IPO KWAYEYOTE ATAKAYE ZAIDIA KUMPATA BWA STAMILI ASANTENI Jan. 9, 2012, 3:57 p.m. GMT
  • Guest fuligence naomba mnitafutie ngugu bwana stamili wakindo ana uza byashara ya duka bibondo na mtafuta sana nime poteza namba yake ya simu kwa atakaye mpata stamili atapewa zawadi .kwani nina mzigo wake ila sina mawasiliamo mimi ni mkongo ni meishi kambini mkugwa,nduta na kanembwa sasa naishi usa tafazali utakapo sikia tangazo hili mjulishestamili na mbaya simu ni 5057121942 zawadinono imeandaliwa ka... Jan. 9, 2012, 3:50 p.m. GMT
  • Guest sorry naomba munitumie web yenu niwe nawasikiliza ukukwetu usa adress yangu ni fidelbyadu@yahoo.com nitashukuru kama mutajibu kwa ombi langu asanteni na Mungu awabariki Dec. 31, 2011, 6:21 a.m. GMT
  • Guest nimimi fidel byadu nikiwa usa naomba munipeperushie salamuzangu kwa mchumba wangu zuzana wa nyarungusu na mdogo wangu samweli napia type wote wakiwa nyarungusu camp bila kusahau kwaya ya mtakatifu petro nawatagazaji wote wa radoi kwizera Dec. 18, 2011, 7:36 p.m. GMT
  • kasile mulonda we can't hear the radio on pls do what u can to connect us Dec. 6, 2011, 5:54 p.m. GMT
  • Guest HI NAFURAHIA VIPI VYENU. MUNGU AWALINDE. Dec. 6, 2011, 7:02 a.m. GMT
  • Guest ni mimi tena AWILO wa MKUGWA CAMP naomba muwape hawa watu hizi namba zangu ni 14507767654 Dec. 1, 2011, 5:24 a.m. GMT
  • Guest mimi naitwa awilo alex nikiwa canada naomba munippeperushishie hizi salamu kwa boniface mpagabe na lioba mbuva na faraja john pia elias mtumishi wa western union ya kibondo pia familia yooooote ya mbonimpa falese ntirugeregwa familia hiyo wanitumie namba za simu za mboni pia bila dunia masudi chande wa kibondo samu zingine ni kjt kanembwa namkumbuka muganyizi saaaaaana namkumbuka askari magereza a... Dec. 1, 2011, 5:20 a.m. GMT
  • Guest salamu zangu ziwafikiye watanganzaji wote wa radio kwizera,let me thank god because he had done a lot think fo us. natena nikwasababu amenisahidiya nikapata kuiona radio kwezera nilikuwaja nahitafuta sana ila kwasasa nikahipana kwenye . let me thank god for that thank Nov. 30, 2011, 1:36 p.m. GMT
  • Guest Salaam zangu ziwafikie Watangazaji wote wa Radio Kwizera, Thanks for Good Job ya kuwahabarisha WTZ pamoja na nchi zote za ukanda wa maziwa makuu; Naomba unipeperushie salaam hizi kwa Tanzania wote: Nawatakia Kheri ya Christ Mass na Mwaka mpya 2012 Watanzania wote. Sifa na Utukufu tunampa Mungu kwa kututunza na kulilinda Taifa Letu. Ujumbe wa Mwaka mpya kwa Watanzani: " New Thinking, Ne... Nov. 30, 2011, 6:33 a.m. GMT
  • Guest I am from burundi i want to say hello for every one helped me when I had big problems 2005 -30-nov and say thanks now i need help from tanzania about teaching burundi government how to look after people thanks very much GOD CONTINUE LOOK MY GOOD CANTRY TANZANIA AND PEOPLE LIVE IN Nov. 29, 2011, 9:08 a.m. GMT
  • Guest hi is me sondasi Nov. 29, 2011, 1:53 a.m. GMT
  • Guest nashaka ndamutse abagenzi bonse edith johnson bonifas nabandi ndabipfuriza noel nziza nu mwaka mushasha yari ndayizeye Nov. 28, 2011, 10:06 a.m. GMT
  • Guest natakia amani watu wote wanaishi camp ya wakimbizi kila shehemu ya dumia na na wapende mungu matatizo yote atamalizika Nov. 28, 2011, 9:58 a.m. GMT
  • Guest mimi naitwa valentine nikiwa amerika;napenda kuwasalimi ndungu na marafiki wako tanzania ndamiano na pefania na mimbiro na vendasite na kerematine na polina na vioreta .wengine ni wata ganji wa radio kwizera na watakia .pasaka zuli sana bye .2011-11-14 5;00 pm Nov. 14, 2011, 10:01 p.m. GMT
  • Guest hi go to google and writte isanganiro and cick at tfhe second part Nov. 14, 2011, 9:33 p.m. GMT
  • Guest Naitwa Richard J ames niko radio morning star Dar es salaam nawatakia salamu watangazaji wa radio kwizera Ramadha Makonda,Gordeni Bucha Emanuel Jansone,Grece Gwamagobe na wengine wote wanaofanya kazi yakuielimisha jamii kupitia radio kwizera Mungu awababariki Nov. 6, 2011, 9:48 a.m. GMT
  • Guest My name is skole i live in america i want to say hi to my friends who live in nyarugusu camp such as banza or mvunja ,his brother byaonda ,kashindi jack and his brother demunga . thanks a lot for reading my message and god bless you and other stuff. Oct. 26, 2011, 12:27 a.m. GMT
  • Guest Mimi naitwa kwa jina la skole naishi marekani. napenda ku wasalimu ndugu na jamaa wa kiwa na ishi katika kambi ya nyarugusu wakiwa ni banza au mvunja, byaonda ,kashindi jack na watangazaji wote wa kwizera. asanteni sana. Oct. 26, 2011, 12:10 a.m. GMT
  • Guest Mimi naitwa Anjelina Mashakiro kutoka camp Mkurwa sasa ivi naishi amerika.saalam zangu ziwaendee kaka zangu wote Uko muhange ,pamoja na marafiki zangu wote wanao ishi Tanzania.Ujumbe tuzidi kuombeana na mungu awabaliki Anjelina Oct. 16, 2011, 1:03 p.m. GMT
  • Guest mimi naitwa songa kutoka U.S.A georgia mimi ni mcongo. lakini nime zaliwa lugufu camp inchin tanzania. kwenye vipindi vya radio kwizera napenda sana kipindi cha satadishow na kipindi cha p damas missanga. salamu nzangu ziwafikie ndugu zangu wakiawa apo nyarugusu camp salamu zangu zimufikie kaskile namwambia na mpenda sana salamu zangu za pili zimfikie dada roza akiwa apo nyarugusu namwambia na mpe... Oct. 15, 2011, 12:46 a.m. GMT
  • Guest abari gani radio kwizera sitaki kutaja jina langu lakini nita tuma salamu kwa junveto sijuveri na wa tangazaji wote wa kwizera nilikua na ishi kambi ya kanembwa na tuma salamu zangu sana kwa jack akiwa apo nyarugusu camp na tuma salamu nzangu kwa ekwato akiwa apo nyarugusu camp bila kumu saau dada roza akiwa apo nyarugusu camp nawaambia iv tumuombe mungu kwa bidii Oct. 15, 2011, 12:30 a.m. GMT
  • Guest Congratulation to Fr. Damas Missanga sj for his good well done job at RK. Sept. 1, 2011, 9:52 a.m. GMT
  • Guest i used to love this radio till now but i cant find even in internet for real i miss RK Aug. 21, 2011, 11:48 p.m. GMT
  • Guest cool and ilike this radio Aug. 10, 2011, 4:28 p.m. GMT
  • Guest I wont to listen toradio kwizera July 27, 2011, 9:51 p.m. GMT
  • Guest Mimi naitwa Seti Hrusha ao Nestory Nibizi ni mtanzania ninaishi Minnesota,U.S.A tunapenda kisikia RFK online wakati wowote kama bbc tunavyoipata online, Kwani ikiwa tutaweza kisikiliza oline kama tunavosikiliza bbc hakuna radio nyingine ninaweza kusikiliza. kwani ninaamini radio kwizera ni kiboko yao. Salam ziwafikie watangazi wote wa RFK. July 7, 2011, 2:01 a.m. GMT
  • Guest ni mozar niko american nimetokea uko tanzania naipenda sana RK sasa nawaomba kama mna uwezo muweke hii radio kwenye line ok tx May 28, 2011, 1:19 p.m. GMT
  • Guest Mbele yayote kwajina naitwa kenyatta H lakini wengi wananijuwa kwajina la HOLLIDAY nikiwa apa Marekani : acheni niwape hi kwa marafikiwangu wote wako kambini Mtabila wengine Burundi nawasalimia nikiwatakia sikukuu njema ya pasaka . Lakiniwatuwako kwenye mitambo tunaomba tuwe tunasikiliza Radio Kwizera tunaifagilia sana tena sana.basi acheni niseme bye!!!!!!!! May 22, 2011, 3:38 a.m. GMT
  • Guest please show me how can i listen to radio isanganiro please May 20, 2011, 3:24 a.m. GMT
 
Location: