Radio Maria Tanzania app on your iPhone, iPad, iPod Touch, Android, and Blackberry phones. Interested in these mobile apps? Let us know via the Contact Us below. Click here to use on Facebook!
Guestkeep it up radio MariaMay 25, 2012, 5:36 p.m. GMT
Guestplay radio maria tanzaniaMay 25, 2012, 8:50 a.m. GMT
Guestwakenya twa wa loveMay 24, 2012, 5:58 p.m. GMT
Guesthongereni radio maria. kweli inatufanya kuwa famiglia ya mungu. BASI TUZI KUDUMISHA HAKI AMANI NA UPENDO NA ZAIDI WAZAZI TUENDELE KUWAFUNDISHA WATOTO WETU MAADILI MEMA. FROM ITALY.May 24, 2012, 7:54 a.m. GMT
GuestMungu Aibariki Redio Maria Daima. Inasikika Dunia kote, hata Ulaya na Marekani.
CasimirusMay 23, 2012, 12:58 a.m. GMT
Guestkwakweli hili jambo linatusikitisha sana wandoaMay 22, 2012, 6:48 p.m. GMT
GuestWhy could not play stream radio Maria Tanzania while internet is OKMay 21, 2012, 5:51 p.m. GMT
GuestRadio ya uinjilishajiMay 21, 2012, 7:36 a.m. GMT
GuestAsante uncle Gody kwa kunipa moyo, hata hivyo najaribu tena bila mafanikio. Jumapili hii nimekosa mahubiri na masomo, Kwetu ni kwetu japo huku nako tunapata mahubiri lakini ya lugha yetu na nyumbani keetu yanatupatia nguvu zaidi. Nitaendelea kujaribu tena. Ubarikiwe sana. Jenny.May 20, 2012, 9:39 p.m. GMT
GuestJenny, pole kwa kuikosa radio Maria. Mimi nipo hapa Turin - Italy nilipata tatizo kama lako jana hadi leo mida ya mchana, lakini kwa sasa hali imerudi kama kawaida, radio Maria wanasikika vizuri. Labda ni tatizo la muda tu! Jumapili njema na Radio Maria. Uncle GoddyMay 19, 2012, 10:03 p.m. GMT
GuestTKY. Naitafuta radio yetu Maria siipati leo ni siku ya pili, streema haifanyi kazi wakati internet iko vizuri, je shida hii ni hapa UK tu au kuna tatizo lolote.
Asante nifahamisheni. Jenny.May 19, 2012, 6:47 a.m. GMT
GuestNaipenda sana Redio Maria kwani inanipa faraja hasa kipindi cha chaguo, naomba Mungu aweze kuidumisha milele yote by Neida Kisoma Pomerini-kilolo-IringaMay 17, 2012, 10:42 a.m. GMT
GuestTudumishe imani yetu ya kikristo hasa tunapoisikiliza RedioMaria pande za Pomerini-KiloloMay 17, 2012, 10:38 a.m. GMT
GuestMimi Neida kisoma kutoka Pomerini-kilolo-iringa naipenda sana Redio Maria hasa kipindi cha ombeni mtapewa kwani kinanipa faraja kubwa sana katika maisha yangu nakuona kama tunajumuika pamoja kwa utulivu.
Redio Maria idumu Milele.May 17, 2012, 10:26 a.m. GMT
GuestMimi Lameck Renatu Noely kutoka Arusha Sanawari nabarikiwa sana sana navipindi vyaredio maria kwani vinanijenga kiroho kiakili na kimwili Mungu ibariki redio maria na watumishi wake wote.uwendelee kuwatia moyo naguvu.AMENMay 17, 2012, 7:03 a.m. GMT
Guestl dont get it this radio maria tanzania thank you.....May 16, 2012, 5:58 a.m. GMT
Guestachukue taraka huyo baba na aachane naye je kwani watoto wana umri gan upendo kutoka iringaMay 15, 2012, 6:28 p.m. GMT
Guestmungu awabaliki kwa kipiindi boraMay 15, 2012, 12:14 p.m. GMT
GuestI love RADIO MARIA!! GOD BLESS!May 15, 2012, 10:01 a.m. GMT
Nawapenda sana watanzania wenzangu. nawatakia juma kuu njema mkiyatafakari mafumbo makuu ya kufa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristu.April 2, 2012, 7:38 p.m. GMT
Guest
Nawasalimu watanzania wote ktk Kristo, Mwenyezi Mungu awabariki sana ktk kipindi hiki cha mfungo wa kwaresma Amina Sr. Clara MwanyalilaApril 1, 2011, 1:47 a.m. GMT
Guest
Tumsifu Yesu Kristo. Jina langu Sr. Clara Mwanyalila ni mwanafunzi ktk chuo cha Assumption for sisters New Jersey U.S.A. Nawatakia sherehe njema wanajimbo la Dodoma na wana Mbeya wote ya kusimikwa Askofu mpya Fr. Gervas Nyaisonga Mungu awabariki sana. AminaMarch 19, 2011, 12:09 a.m. GMT