The free online radio tuner to listen, discover and share your radio stations
Radio Maria Tanzania - FM 89.1 - Dar es Salaam
A Christian Voice In Your Home
Wall
GuestHongereni sana Radio Maria kwa vipindi vya kuelimisha Jamii. Mungu awabariki daimaMay 18, 2013, 7:48 a.m. GMT
Guesthongera radio mariaMay 18, 2013, 3:54 a.m. GMT
GuestAskofu wa Norbert Mtega ajihuzuruMay 17, 2013, 6:46 p.m. GMT
Guestni radio bora ya kiimani tanzaniaMay 15, 2013, 6:13 a.m. GMT
GuestWHEN WILL PENGO ALLOW THE FAITHFUL TO RECEIVE HOLY COMUNION KNEELING?May 13, 2013, 6:41 p.m. GMT
Guestl love redio mariaMay 12, 2013, 8:01 p.m. GMT
Guestpoleni sana ndugu zanguMay 12, 2013, 4:35 p.m. GMT
GuestAsanteni sana kwa hii radio kuwa online, nipo mbali na Tanzania kwa sasa! Nimepata Amani ya Bwana Yesu,
LindaMay 12, 2013, 7:32 a.m. GMT
Guestnimefurahi sana kupata kusikilza radio hii online, maana nipo mbali ya Tanzania. Nimepata Amani ya Bwana YesuMay 12, 2013, 7:29 a.m. GMT
Guesti like to get Juliet Gerald Munga email please...i will appreciate this from radio maria....May 11, 2013, 5:21 p.m. GMT
Guesti like radio maria...especially when Juliet Munga..or Happiness Mlewa..or Agness Shayo Hiza are on service....and also i like the gospel song time...in the afternoomMay 11, 2013, 5:19 p.m. GMT
GuestMungu awalaze mahali pema peponi wametutangulia sisi tuko nyuma yaoMay 11, 2013, 11:51 a.m. GMT
GuestRAHA YA MILELE UWAPE E BWANA NA MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE WAPUMZIKE KWA AMANI -AMINAMay 10, 2013, 12:17 p.m. GMT
GuestMUNGU ATUTIE NGUVU WAKRISTO WOTE TANZANIA NA DUNIA NZIMA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU KWETU AMBAPO IMANI YETU INAJARIBIWAMay 10, 2013, 12:16 p.m. GMT
GuestTHANK YOU VERY MUCHMay 10, 2013, 11:55 a.m. GMT
GuestPOLE BABA ASKOFU JOSAPHAT LEBULU KWELI NI UCHUNGU ILA TUMWACHIE MUNGU ATATENDA MUUZA WA AJABU AMBAO HATUTAAMINI. WAKRISTO TUSIFE MOYO KWANI TUNAIMARISHWA KIROHO.
DOMITILA JOSEPHAT-ARUSHAMay 10, 2013, 11:25 a.m. GMT
GuestMungu awapumzishe wapendwa wetu kwa Amani. MUNGU AWASAMEHE WOTE WALIOFANYA TUKIO HILO OVU KWA MAANA HAWAHWAKUJUA WALILOLITENDA.May 10, 2013, 11:20 a.m. GMT
GuestMungu awape raha ya milele wapumzike kwa amani.amina
Thobias Malima,Mbeya 10.05.2013May 10, 2013, 11:08 a.m. GMT
GuestPamoja na tukio hili la kutisha wakristu wenzangu tusikate tamaa Mungu wetu yupo pamoja nasi na kanisa lake litazidi kuimarika damu ilyomwagika itupe hamasa ya kumtafuta Mungu kwa bidiiMay 10, 2013, 11:08 a.m. GMT
GuestRaha ya milele uwape ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani . AMINA.May 10, 2013, 10:20 a.m. GMT
GuestWrite something on this wall!radio maria liveMay 10, 2013, 10:16 a.m. GMT
0754665067Write something on this wall! I want to listen radio Maria because I love itMay 10, 2013, 9:43 a.m. GMT
GuestUwape pumziko la milele Ee Bwana!May 10, 2013, 8:52 a.m. GMT
GuestMungu zipokee roho za wapendwa wetu hawa katika makao yako ya milele; shetani na waandamizi wake watashidwa kwa jina la YESU!!! Theodore MwalongoMay 10, 2013, 8:50 a.m. GMT
GuestThe radio is of great importance especially to all peace loversMay 7, 2013, 6:17 p.m. GMT
GuestGod loves usMay 6, 2013, 2:43 p.m. GMT
GuestJamani wakristu wenzangu tunakwenda wapi? mbona matukio ya uvamizi wa makanisa yanapamba moto? tumekosa nini jamani. tuzidi maombi na tuwe nia kabisa Yesu atatupa jibu muda si mrefu.May 6, 2013, 5:19 a.m. GMT
GuestMungu azidi kututia nguvu wakristo.May 5, 2013, 7:59 p.m. GMT
Guesttunataka baraza la maaskofu litoe tamko kali haraka, wenzetu wamezidiMay 5, 2013, 7:51 p.m. GMT
GuestWakristu wenzangu wa Arusha, poleni sana kwa mlipuko wa bomu uliotokea leo, siku muhimu ya usinduzi wa kanisa mahaliya. Mungu awalinde na kuwatia nguvu, ya kuvumilia, kujeruiwa kwa ndugu zetu. Pia Mungu akazibariki dawa watakazo tumia ili majeruhi wapone haraka. kutoka jamuhuri ya watu wa China.May 5, 2013, 1:47 p.m. GMT
GuestEe mungu wape nguv majeruhi wapone haraka.tunaomba watuhumiwa washindwe na mbinu na nia zao na mungu awafunue kwa dola.May 5, 2013, 1:35 p.m. GMT
Guestinasikitisha sana .lakini . Kristo ndiye anayetupigania . poleni sana kwa wakristo wote kwa ujumla . majeruhi naamini Mungu anawaponya kupitia kwa madakitari wanaowahudumia. Chantal from USAMay 5, 2013, 12:56 p.m. GMT
GuestHABARI za Leo! NI Mlipuko Wa Bomu,May 5, 2013, 12:09 p.m. GMT
Guestpoleni sana wakiristor wa Arusha jamani tuombe mungu kwa haya yoliotokea majeruhi wapone haraka na tumuachie mungu afanye kazi yake
ni mimi juliana king toka AustraliaMay 5, 2013, 11:51 a.m. GMT
GuestEng. Switbert Msaki wa yombo vituka,DSM
Pole sana watu wa Arusha na wanaparokia wa Olasiti, Haya ni majaribu tu ya shetani tufunge tukiomba tutayashinda.May 5, 2013, 11:48 a.m. GMT
Guestpoleni kwa tukio la kusikitisha huko Arusha Mungu atusaidie na kuwaombea majeruhi wapate nafuu haraka. Pd Mkuchu- AustraliaMay 5, 2013, 11:44 a.m. GMT
GuestHELLOMay 5, 2013, 11:40 a.m. GMT
GuestMungu awatie nguvu wote walioumia kimwili na kiakili na mlipuko huo. Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.May 5, 2013, 10:51 a.m. GMT
Mbenna Evodius, SDSNimepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa ya mlipuko uliotokea hapo Olasisi katika tukio la kubariki na uzinduzi wa parokia ya Mt. Yosef Mfanyakazi. Ninawaombea na kuwapa poleni waliojeruhiwa. Pd. Mbenna Evodius, SDS. Kutoka Münster- Ujerumani.May 5, 2013, 9:44 a.m. GMT
Mbenna Evodius, SDSNimepokea kaw masikitikoa na majonzi makubwa taarifa ya mlipuko uliotokea hapo Olasisi katika tukio la kubariki na uzinduzi wa parokia ya Mt. Yosef Mfanyakazi. Ninawaombea na kuwapa poleni waliojeruhiwa. Pd. Mbenna Evodius, SDS. Kutoka Münster- UjerumaniMay 5, 2013, 9:42 a.m. GMT
GuestJmn ni janga kubwa lmetokea arusha bomu lmelpua kanisa pole kwa waliopata maafa hayo.May 5, 2013, 9:11 a.m. GMT
Guesttulikuwa tunawapata sana nje ya nchi siku hizi vipi au mitambo yenu inatatizo? Tafadhali endeleeni kutupa rahaMay 3, 2013, 5:05 p.m. GMT
GuestKristu! Tunaishukuru sana Radio Maria Tanzania maana hata huku Australia inatubariki sana na tunaipata kwa mtandao muda wowote. Mbarikiwe sana Radio Maria. Abel Sembeka -AustraliaMay 3, 2013, 12:54 p.m. GMT
Guestnimemiss sana RMT....kwa frequency za moro siwapati..ila hapa sasa nawapata online..MYNGU AWABARIKIMay 3, 2013, 2:15 a.m. GMT
Guesthttp://youtu.be/0NEkRByJrkU.Wimbo wa kusaidia mchakato wa uponyaji baada ya kupoteza mpendwa .. KufurahiaMay 1, 2013, 2:02 p.m. GMT
Guestplay with radio maria dares csalaam on lineApril 30, 2013, 2 p.m. GMT
Guestplay radio mariaApril 30, 2013, 1:49 p.m. GMT
GuestI am feeling happy to listen Radio Maria as a Christian!April 29, 2013, 4:56 p.m. GMT
GuestUpendo kwa familia ya mr. na mrs. Aloyce Chaky wa kirua Vunjo, familia ya mr. na mrs John chaky wa kirua Vunjo na Mwisho familia ya mr na mrs Evance Raphael Kisaka wa makundushi kilema.
UJUMBE:
Mungu ni pendo
huyu ni Boniface chaki wa dsmApril 29, 2013, 8:20 a.m. GMT
Mbenna Evodius, SDSUnono Kwa Padre Villanova Balthazari Mahoo, SDS wa Parokia ya Mafia. Ujumbe: "Usipumzike mpaka watu wote wamjue Mungu wa Kweli na yule aliyemtuma, Yesu Kristo."April 27, 2013, 8:29 p.m. GMT
GuestKwa kweli Ngombanize hakika umepewa talanta kubwa kuhamasisha, hekima na ushawishi wa imani timilifu, nadhani ungesomea upadri uneokoa roho nyingi sana ila kwakuwa umeitwa kwa wito wa ndoa, kaa tulia hapo Redio Maria, until your last day in this world. God bless you with your family.
thanksApril 26, 2013, 6:34 p.m. GMT
GuestNaomba kuuliza Redio hii iko upande gani wa Dar?April 26, 2013, 5:39 p.m. GMT
GuestMhema una utani sana usimchekeshe mwenzako ila naomba wimbo wa nikiziangalia mbinguApril 26, 2013, 5:38 p.m. GMT
Guestasante kwa Radio Maria, sasa naomba waambie jamaa wajifunze sala bwana wamejikanyaga sana ila nawapa hi sana napenda niko Canada nasikiliza sasa hiiApril 26, 2013, 5:36 p.m. GMT
GuestRadio Maria hongereni sana kwa matangazo yenu mazuri na ya kuenjilisha. Dumisheni moyo wa upendoApril 25, 2013, 8:35 a.m. GMT
GuestKristo, tumaini letu! Tunajipongeza wote kwa ujumla wasikilizaji, wawezeshaji na waanzilishi wa Redio Maria, katika Maandalizi ya kuadthimisha Miaka 17 ( Birtdhay Y Mtoto) ya Uinjilishaji kwa Njia ya REDIO MARIA! Turudishe Sifa na Utukufu kwa Mungu Baba Mwenyezi, aliye asili ya Yote! Amen!
Silvester, Hongera kwa jitihada za maandalizi, tupo pamoja hadi Kardinal Msimbazi.April 25, 2013, 6:30 a.m. GMT
GuestTumsifu Yesu Kristo !! Hongera radio Maria kuanzisha huduma ya maombi kwa njia ya redio! Imesaidia sana kupunguza wimbi la watalii wa Imani kutafuta miujiza, huku na kule..Uponyaji upo ndani ya kanisa katoliki. AmenApril 25, 2013, 6:21 a.m. GMT
GuestUpendo kwa rafiki zangu wote! wa parokia ya Mt. Petro. Asante kwa ujumbe mzuri unaoimbwa sasa hivi Radio Maria hamuwezi kutumikia Mungu na maliApril 24, 2013, 8:50 a.m. GMT
GuestWe thank you for your educative programmes. God bless you. AminApril 24, 2013, 8:36 a.m. GMT
GuestI love Radio Maria! May God bless you all!April 23, 2013, 11:44 a.m. GMT
GuestRadio maria you have good programs God bless all of the staffApril 23, 2013, 5:45 a.m. GMT
Guestupendo kwa mume wangu na watoto wangu melk na evenjelisha pamoja na wanasalamu wote wa redio maria. ujumbe Yesu ni jibuApril 22, 2013, 8:49 a.m. GMT
Guestradio maria ni nzuri sana, kwani inafundisha.April 20, 2013, 12:48 a.m. GMT
GuestSILAS CHAMBI si Mkatoliki.Hapa anakuhadaa ndugu yangu Frateri Mwalunyungu.Chambi Silas Ni MSABATO,tena yule wa SIASA KALI.Ila umemjibu vizuri nadhani hata kama hataki kuelewa ila ameelewa kivyake.Ni MSABATO tena yule wa MASALIA.Nina mfahamu vema,SIYO MKATOLIKI.April 17, 2013, 5:39 p.m. GMT
GuestNafurahia matangazo na nyimbo toka Radio Maria tokea huku USA.April 17, 2013, 2:04 a.m. GMT
Guestare you really on-line?April 17, 2013, 12:49 a.m. GMT
GuestNilichanga fedha za kusaidia radio Maria lakini sijapata sms kama fedha hizo zilifika. Fedha hizo zilitumwa kupitia simu nambari 0713 424284 kiasi shilingi 50,000/=April 16, 2013, 10:12 a.m. GMT
GuestAsante sana Radio Maria Tanzania. Tunawasikia vizuri kabisa hapa Ujerumani. Nawatakia Utume ´mwema uliotukuka!April 15, 2013, 8:18 p.m. GMT
GuestAsante sana Radio Maria Tanzania. Tunawasikia vizuri kabisa hapa Ujerumani. Nawatakia Utume ´mwema ulitukuka!April 15, 2013, 8:17 p.m. GMT
GuestNaitwa Mbenna Evodius, SDS. Kutoka Münster Ujerumani. Unono kwa Frt. Lisakafu, SDS, Frt. Gregory Bahati, SDS na Shemasi Patrick Mgumba, SDS. Ujumbe tuisikilize Radio Maria Tanzania.April 15, 2013, 8:16 p.m. GMT
GuestWrite something on this wall
listenApril 15, 2013, 8:17 a.m. GMT
GuestNeed to here Radio Maria from TanzaniaApril 14, 2013, 12:53 p.m. GMT
Guestnaitwa francis makanya.namtakia mary kamuzora jumapili njema na masomo mema huko nchini china.ujumbe: tusikilize radio maria.April 14, 2013, 8:45 a.m. GMT
GuestBwana asifiwe ndugu zangu wapenzi. Mimi nilikuwa na swali! ratiba ya Rozari ni hipi? Mimi naishi Marekani ila nimejaribu sana kuona kama ntakuwa nasari Rozari na Radio Maria ila naon naona kama tunapishana.
Naomba kama kuna mtu anajua anisaidie.
Asanteni na Mkae na Amani ya Mungu!April 11, 2013, 4:04 p.m. GMT
GuestHabari,kwa nini inakuwa ni shida kuwapata kwenye Tunnein ya simu ya mkono?miezi ya nyuma haikuwa shida.Napenda kusilikiliza radio yenu,nipo Sweden.GraceApril 11, 2013, 10:26 a.m. GMT
GuestHERINI SANA KWA SIKUKUU YA PASAKA NA HONGERENI KWA KAZI NZURI, NAWAPATA SAFI NILISHIKI VIZURI MNO IBADA YA IJUMAA KUU,NINAYOIPENDA SANA. MUNGU AWABARIKI SANA NA UTUME WENU UZAE MATUNDA BORA. BURUDANI SAFI ZA NYIMBO ZA DINI ZANIPA FARAJA YA KUWA TZ. KUTOKA TRUJILLO SPAIN. MARYApril 10, 2013, 1:36 p.m. GMT
GuestJAMANI SERIKALI YA TANZANIA KUCHINJA NI KITU KIDOGO SANA TUKUBALIANE KWANI KAMA NI KUCHINJA WANYAMA KILAMTU ANAHAKI YA KUCHINJA LAKINI TUKUBALIANE SASA WAKRISTU WAKICHINJA WAWEZE KULA WAO TU NA WAISLAMU WALKICHINJA WALE WAKRISTU NAWAISLAMU WAO PIA WALE. SERIKALI ITOE TAMKO KUWA WAKRISTONAO WAWEZA KUCHINJA LAKINI NYAMAZIWEKWEKWENYE MABUCHA YA WAKRISTO JAMBO HILI LIFANYIKE BILA VURUGU NA BUSARA ITUM...April 10, 2013, 1:01 p.m. GMT
GuestInatia moyo sana kupata habari za nyumbani: kitaifa na kimataifa kupitia Radio Maria via internet.
Nangay-Pretoria, Afrika Kusini.April 10, 2013, 10:11 a.m. GMT
Guestlisten liveApril 9, 2013, 6:04 p.m. GMT
Guestasante sana nduguApril 9, 2013, 4:25 a.m. GMT
GuestNdugu Watanzania, sasa hivi nimesikiliza taarifa ya habari toka TBC kupitia Radio Maria Tanzania kwamba imeundwa kamati maalum ya kukutanisha Waislamu na Wakiristu ili wawe na ushirikiano wa amani. Napongeza saana hatua hii. Huko Uingereza katika nchi ya Ireland Kanisa moja lilitoa nafasi ya kusali ndani ya kanisa la Katoliki baada ya wao waiaslamu kukosa nafasi ya kusali msikitini mwao. Mnaona us...April 8, 2013, 5:24 p.m. GMT
Guestutumwe mwema na jumapili njema na baraka njema za pasaka, mathiasa mwinuka mlangali ludewaApril 7, 2013, 4:57 a.m. GMT
Bill GadielThe radio does not play as expected despite of every effortApril 6, 2013, 5:19 p.m. GMT
Guesttoo slow to load!April 6, 2013, 3:42 p.m. GMT
GuestWrite something on this wall! HELLO MY NAME IS Warren From Baltimore Marland want to here so of the hotiest music. That on you part of the world. So I want to here what it is.April 6, 2013, 4:04 a.m. GMT
GuestI like this radio station. I'm listening to it all the way in Canada. I've been learning Swahili for a year now, off and on. I'm 16 now. And I LOVE IT. :) have a good day everybody in AFRICA!!!! :DApril 5, 2013, 3:35 p.m. GMT
GuestNawapata vizuri kabisa hapa Austria, Salzburg! Pasaka njema. Pd. Joachim KarabweApril 5, 2013, 11:16 a.m. GMT
GuestGod be with you alwaysApril 4, 2013, 3:25 p.m. GMT