WAPO FM 98.0 - FM 98.0 - Dar es Salaam

Save this radio to your Streema Favorites

Nuru Ya Jami

Wall - Post a message

Guest

Guest

Mbona huku majuu tunakosa ?

March 20, 2014, 3:55 a.m. GMT

Guest

Guest

YANGA KESHO TUPENI RAHA

Jan. 17, 2014, 3:54 p.m. GMT

Guest

Guest

I failed to connect with this radio live through internet, please help me to sort it out

Aug. 14, 2013, 6:06 a.m. GMT

Guest

Guest

Write something on this wall!why i cant hear it..

July 22, 2013, 8:38 a.m. GMT

freddie.super_dooper

freddie.super_dooper

this radio station is not broadcasting, i have been trying for 1hr but unable to connect or listen

June 27, 2013, 6:14 p.m. GMT

freddie.super_dooper

freddie.super_dooper

please note this radio is not playing, i tried to listen to the preaching but it didnt play

June 27, 2013, 5:53 p.m. GMT

B.YULIA

B.YULIA HENRY

this radio is not playing!

June 15, 2013, 2:42 p.m. GMT

ahadi

Ahadi Mkuji

hi dj broadcaster, nawapata kwa uziri kabisa hapo jijini dar kupitia internet, mimi ahadi frank nipo Arusha, siku njema

June 2, 2013, 11:09 a.m. GMT

ahadi

Ahadi Mkuji

hi wapo radio in dar, get year pretty good right here in moshi, by internet, keep it up!

May 28, 2013, 7:34 p.m. GMT

Guest

Guest

sasa tunawapata vizuri kwenye mtandao, na tunabarikiwa na huduma yenu. Mbarikiwe

May 15, 2013, 2:55 p.m. GMT

Guest

Guest

I like the programme, Today I tried to get you through interneit, Thank God I managed.

May 15, 2013, 5:33 a.m. GMT

Guest

Guest

ongereni sana mungu awabariki,ninafurai sana kusikiliza wapo radio nikiwa uganda,ephraim maeda.salam nyingi kwa askofu Gamanywa.

April 16, 2013, 12:35 p.m. GMT

Guest

Guest

nabarikiwa sana na hii radio mungu awabariki sana, awatie nguvu.magesa kassana birmingham uk

April 16, 2013, 3:06 a.m. GMT

Guest

Guest

watumishi mbalikiwe sana, ninawapata vilivyo sana mungu aendelee kuwatia nguvu watumishi magesa kassana, birmingham uk

April 16, 2013, 1:47 a.m. GMT

Guest

Guest

Hongereni kwa habari za uhakika. ALBINISM Kiswahili chake ni ualbino. Watu wenye ualbino...

April 7, 2013, 4:42 a.m. GMT

Guest

Guest

Hongereni sana REDIO YA WAPO kwa kazi zenu nzuri. Nimefarijika sana na kipindi cha Dokta Didas Masaburi. Mungu akubariki sana daktari uendelee kuwainua Watanzania. Jamni Watanzania tuige mfano huu - kuwa wabunifu ili tutengeneze ajira kwa Watanzania wenzetu ili kila mmoja afanikiwe na kusonga mbele. see more... Mungu awabariki sana na Pasaka njema. Mimi ni Elizabeth Dandi niko Korea Kusini.

March 30, 2013, 4:26 p.m. GMT

Guest

Guest

ninaipata vizuri sana,japokuwa niko USA utafkili bado niko Tanzania,mbarikiwe watumishi wa mungu..Janeth Shem Sanga

March 22, 2013, 1:02 p.m. GMT

Guest

Guest

Mungu ibariki WAPO FM napata habari nzuri pamoja na kuwa mbali huku Nepal. Gasper Mbogolo

March 20, 2013, 4:41 p.m. GMT

Guest

Guest

kwa kweli mbarikiwe na Bwana Yesu.mwl. KWEKA-ARUSHA

March 16, 2013, 6:41 p.m. GMT

Guest

Guest

Ninaisikia Redio wapo sana huku swedeni, Mbarikiwe. Dr Kweka

March 16, 2013, 11:05 a.m. GMT

Guest

Guest

nilij nilikuwa naomba muwe mnatutajia nyimbo zimeibwa na waimbaji wapi asanteni mbarikiwe

March 12, 2013, 2:52 p.m. GMT

Guest

Guest

Off air???..........................................

March 11, 2013, 7:40 a.m. GMT

Guest

Guest

iseeee RADIO WAPO noma hii online babuuuu

March 9, 2013, 4:36 p.m. GMT

erasmos.tarimo

Erasmos Tarimo

Nipo misri-cairo nawapata moja kwa moja hongereni san Wapo FM.Huyo aliyebaka anastahili kupata hiyo adhabu.

March 1, 2013, 4:42 p.m. GMT

erasmos.tarimo

Erasmos Tarimo

Naitwa Erasmos Tarimo nipo Cairo nawapata vizuri kabisa.

Feb. 19, 2013, 4:41 p.m. GMT

erasmos.tarimo

Erasmos Tarimo

Wapo FM, safi sana nawapata clear kabisa nipo Cairo Egypt.

Feb. 19, 2013, 4:39 p.m. GMT

Guest

Guest

listeni live wapo radio

Feb. 18, 2013, 5:50 a.m. GMT

Guest

Guest

WAPO radio nawapata kabisa hapa sweden, mnanifariji na kunipa habari za nyumbani, Dr Eliningaya Kweka

Feb. 10, 2013, 8:47 p.m. GMT

Guest

Guest

Wapo nawapata kabisa. Nipo Vancouver Canada. Mungu awabariki sana. Fancis

Feb. 10, 2013, 6:20 a.m. GMT

Guest

Guest

Mbona inatakataa naomba msaada nisikilize from kitongoji?

Feb. 2, 2013, 11:56 a.m. GMT

Guest

Guest

WAPO Mnasikilika vizuri sana kwenye FM hii ya 98.0 Mbarikiwe!!!

Jan. 25, 2013, 6:04 p.m. GMT

Guest

Guest

Wapo ninawapenda kwa matangazo mazuri. Mungu awabariki.

Jan. 3, 2013, 4:30 p.m. GMT

Playlist, tracklist, top songs played coming soon...

PC requires Windows Media Player - Mac additionally requires Real Player - See FAQs for more info on how to listen to live streaming radio.