RFI Kiswahili

Save this radio to your Streema Favorites

Wall - Post a message

Guest

Guest

Asanten RFI kiswahili kwa matangazo yenu tunawapata vizuri kama vile mkoa wa mufindi iringa, njombe, mbeya, morogoro na kuendelea. KELVIN MSAKWA. toka mufindi iringa mgororo magunguli. naachia line.

April 16, 2014, 5:55 a.m. GMT

salongo

salongo

Salongo Muyoboke kutoka hapa jijini Gisenyi-Rwanda, hapa nafwata RFIkiswahili kwenye internet 5kwa5 Asanteni kwa matangazo yenu. ( 250788588651, samuyoboke@yahoo.fr)

March 11, 2014, 3:18 p.m. GMT

15555

15555

Ni Ngorho Patrick kutoka Bukavu South-Kivu DRCongo, number ya simu ni 243 994885370 , na Email bagalwaalexis@yahoo.fr Asante nataka kuwasiliana nanyi.

Feb. 17, 2014, 1:06 p.m. GMT

Guest

Guest

ni mashango Ibun Ally kutoka Nuur FmTanga Tanzania tuko pamoja Inshaallah ,email mashangoally@yahoo.com

Sept. 3, 2013, 7:55 a.m. GMT

Guest

Guest

tunawapenda.

Aug. 27, 2013, 2:18 p.m. GMT

Guest

Guest

KUTOKA TANGA.

Aug. 24, 2013, 6:46 a.m. GMT

Guest

Guest

HABARI ZA ASUBUH RFI, JE NIKIWA NA TARIFA NAWEZA KUITUMAJE!

Aug. 24, 2013, 6:46 a.m. GMT

Guest

Guest

Write something on this wall!RFI NI ZAIDI YA YOTE.

Aug. 23, 2013, 8:24 a.m. GMT

Guest

Guest

Nimeamini rfi kimatangazo

Aug. 23, 2013, 8:22 a.m. GMT

Guest

Guest

Hongera RFI kwakuendelea kutuma habari moto moto nakutujuza mengeme naitwa ALVEA kutoka africa kusini

Aug. 12, 2013, 7:58 p.m. GMT

Guest

Guest

from kenya

Aug. 12, 2013, 12:41 p.m. GMT

Guest

Guest

ongera rfi kwa matangazo ya uakika tunakupata 5by5 apa lexington. RAPHHAEL MAKOMBO. USA.

Aug. 9, 2013, 11:39 a.m. GMT

Guest

Guest

ongera rfi kwa matangazo ya uakika, tunakupata 5by5 Lexington. raphael makombo USA

Aug. 9, 2013, 1:15 a.m. GMT

Guest

Guest

Baraka za MUNGU(JEHOVA) ziwe pamoja nanyi. Ni Munga kimanga toka cape town

July 28, 2013, 1:40 p.m. GMT

Guest

Guest

Jambo asubui njema

July 21, 2013, 4:18 a.m. GMT

Guest

Guest

Safi sana rfi kiswahili kwa kutuarifu habari motomoto MARTIN MBILINYI SUMBAWANGA RUKWA MALANGALI.

July 9, 2013, 5:42 a.m. GMT

Guest

Guest

Waasi M23 acheni kelele sababu mwisho wenu ni karibu. Mimi GERVAIS KAMBALE KUTOKA BUNAGANA.

July 8, 2013, 10:29 a.m. GMT

naiman

naiman

Big up rfi kiswahil

July 5, 2013, 8:57 a.m. GMT

Guest

Guest

Nawatakia sherehe njema kwa kutimiza miaka 3.kwa kutuhabarisha habari motomoto,fanyeni hivyo na muwe na malengo ya kuboresha zaidi. MARTIN MBILINYI MALANGALI SUMBAWANGA TZ

July 5, 2013, 6:22 a.m. GMT

Guest

Guest

mimi napenda sana matangazo yenu sana .

June 4, 2013, 3:03 a.m. GMT

Guest

Guest

mimi ni msikilizaji mzuri sana wa rfi kiswahili niko kigoma nawapongeza sana kwa matangazo yenu ni mazuri na muko makini kwa habari zenu.

May 7, 2013, 11:18 a.m. GMT

Guest

Guest

Lubbenga Umar,mimi ni shabiki wa rfi kiswahili toka mwanzo kabisa,naomba mtuongezee mda katika majadiliano ya kisiasa na uchumi kwa sababu wajuzi tofauti tofauti ambao mnawahoji wanailimisha kweli kweli.

April 13, 2013, 4:18 p.m. GMT

Guest

Guest

MI NI ABEL BASOMWA NAULIZA KWANINI KATIKA MATAGAZO YENU YA NAYO HUSU D R CONGO HUA MUNA JIUNGA TU NA UPANDE MUMOJA TU YAANI UPANDE WA WAASI MIMI SIJAWWI KUSUKIA MUNA JIUNGA NA UPANDE WA SERIKALI WANAO SIKIKA KWENYE RADIO YENU NI WAASI TU HAMUONI KAMA MUNAWAPA NAFASI KUBWA YA KUJINADI MBELE YA MATAIF see more... A? WANASEMA HAWAPENI VITA WANATAKA AMANI MBONA HAMUAULIZI MAHALI WALIPO WALIPASHIKA KWA AMANI AU KWA MAZUNGUMUZO? OMBI LANGU NIVEMA MUWE UNA JIUNGA PIA NA UPANDE WA SERIKALI NA SIO WAASI TU AU SERIKALI YA D R CONGO HAINA MUSEMAJI? EBU MUJITAHIDI KUWATAFUTA TUWE TUNA WASIKIA NAO

April 11, 2013, 10:41 a.m. GMT

Guest

Guest

Email yangu pitiemapenzi@yahoo.fr

April 11, 2013, 10:25 a.m. GMT

Guest

Guest

MIMI NI MUSIKILIZAJI WA TAARIFA ZA RFI SWAHILI KUNA JAMBO LINA NIKERA SANA MUNAPO ONGEA HABARI ZA DR.CONGO HUA MUNA JIUNGA TU NA WA ASI M23 NDIO WANAO SIKIKA NINA JIULIZA KWANINI HAMUJIUNGI NA UPANDE PIA WA SERIKALI KILA SIKU NI SAUTI TU ZA WAASI HAMUONI KAMA MUNA WAPA NAFASI KUBWA KUJIELEZA MBELE Y see more... A MATAIFA?

April 11, 2013, 10:23 a.m. GMT

Guest

Guest

suala lakuwa mtawa ni jambo la wito katika kuifanya kazi ya mungu. hivyo sioni kama nibusara kuvunja miiko ya kanisa.

March 22, 2013, 4:08 p.m. GMT

Guest

Guest

je m'appelle chrisitian,j'aime beaucoup cette station

March 17, 2013, 1:46 p.m. GMT

Guest

Guest

pia mimi ningefurai lau kenya ama tanzania zingeandaa michezo kama hiyo.

Feb. 17, 2013, 9:41 p.m. GMT

Guest

Guest

Ni Christine -shughuli ya mchujo katika vyama tafauti tafauti nchini Kenya imekubwa na changamoto ya kutowasili kwa vifaa na saduku za kupigia kura katika maeneo mengi.Wengi wa wapigakura halifika mapema katika maeneo ya kupiga kura na kupata kuwa wanaosimamia shughuli hiyo hawajawasili.

Jan. 17, 2013, 12:14 p.m. GMT

Guest

Guest

Ni Christine Kutoka Kenya -Muungano wa kisiasa wa Eagle nchini Kenya umetangaza mgombeaji wao wa kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao.Huu na muungano wa tatu wa kisiasa kutaja mgombeaji wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao.

Jan. 16, 2013, 1:28 p.m. GMT

Guest

Guest

MIMI NAITWA MMBAGA NIPO DAR HUU NI UKAFIRI WA WATU WA MAGHARIBI MWISHO WA DUNIA UMEFIKA MUNGU TUOKOE WAJA WAKO

Jan. 14, 2013, 8:53 p.m. GMT

clive.chisenga

Clive Chisenga

rfi Kiswahili mko juu.

Jan. 7, 2013, 12:52 a.m. GMT

clive.chisenga

Clive Chisenga

rfiKiswahili,mko juu.

Jan. 3, 2013, 4:52 a.m. GMT

clive.chisenga

Clive Chisenga

Ahsante kwa kutuhabarisha & kutuelimisha. Nawapata vyema,nikiwa huku mkoani Kagera-Tanzania. Mbarikiwe & Neema zake Mwenyezi Mungu.

Jan. 3, 2013, 4:35 a.m. GMT

clive.chisenga

Clive Chisenga

Nawasikiliza kutoka Mkoa Kagera. Mko juu.Ahsante. Mbarikiwe & Neema zake Mwenyezi Mungu.

Jan. 2, 2013, 3:48 a.m. GMT

clive.chisenga

Clive Chisenga

rfiKiswahili,Mko juu.

Dec. 30, 2012, 5:54 a.m. GMT

clive.chisenga

Clive Chisenga

MARAFIKI,Matangazo yao yamepangwa yakapangika. Vipindi vyao vinagusia nyanja zote za Jamii yetu. Stay blessed by The Almighty.

Dec. 29, 2012, 5:01 a.m. GMT

Guest

Guest

I AM TUNED TO rfi Kiswahili. IT`S LOUD & CLEAR. TRY IT FRIENDS.

Dec. 28, 2012, 4:41 a.m. GMT

Guest

Guest

rfi nawapata mufti kwenye mtandao.big ups

Dec. 13, 2012, 11:55 p.m. GMT

Guest

Guest

Ninafulahi sana nikiwa nasikiliza Radio RFI kiswahili,ninajisikia kama niko nyumbani. Hapa Marekani tunawapata 5/5. Thank you for your servises.

Dec. 6, 2012, 12:53 a.m. GMT

Guest

Guest

kwani nini ni congo tu?

Nov. 29, 2012, 11 p.m. GMT

Guest

Guest

How can i gate phone member of rfi Kiswahili ?

Nov. 24, 2012, 4:01 a.m. GMT

Guest

Guest

Poleni wanajeshi wa NATO kwa kuwapoteza wenzenu,ila Mungu yupo.Kanjagaile Remmy wa dsm tanzania

Oct. 31, 2012, 5:41 a.m. GMT

Playlist, tracklist, top songs played coming soon...

PC requires Windows Media Player - Mac additionally requires Real Player - See FAQs for more info on how to listen to live streaming radio.