Guest
mwalimu allai wa mbungulaji-Tunduru,aiseee mnatishaaaaaaaaaaaa
Feb. 1, 2013, 1:18 a.m. GMT
Guest
RADIO MARIA MUPO JUU MIMI TULIZO NIPO DAR
Nov. 6, 2012, 6:19 a.m. GMT
Guest
Watanzania tutumie Busara na Hekima zaidi katika mchakato mzima wa kupata Katiba mpya. Tuweke mbali itikadi zetu za kisiasa na za kidini. Tumuombe Mungu sana atupe uwezo wa kuona na kupambanua mambo kwa utashi aliotupa yeye mwenyewe.
April 18, 2012, 11:06 a.m. GMT
reitebarhey
Watanzania tusicheze na katiba, kutokujiandaa vema kutatuletea mauti, maana katiba ni sheria mama tujifuze na kinachofanyika kaskazini ya Africa na nchi Nigeria, Upendeleo wowote na hasa wa kidini ni maangamizi ya umoja wa kitaifa.. tusije leta akina akaida na boko haram Tanzania.
April 16, 2012, 6:22 a.m. GMT
Reviews
- Rate this station:
No reviews yet. Be the first to post one
Register on Streema
If you want to save the live stream,
start sharing stations with friends,
or engage in a deeper Streema experience,
please register below.
Guest mwalimu allai wa mbungulaji-Tunduru,aiseee mnatishaaaaaaaaaaaa
Feb. 1, 2013, 1:18 a.m. GMT