GuestJamaani naomba msaaada wa kukipata kipindi cha hizi nazo live...Sept. 21, 2012, 6:54 a.m. GMT
GuestNeed some news....Aug. 24, 2012, 12:48 p.m. GMT
GuestKitenge na katanga mko juu hampepesi macho wala hamng'ati maneno,simba hao vijana watunzeni 2one faida yao baadaye yasitukute ya twite tena.gerald mwanga niko afrikanaAug. 22, 2012, 4:46 p.m. GMT
Guestwhat is the problems, hatuwapati through internet. niko chinaJuly 28, 2012, 8:21 a.m. GMT
GuestNamshukuru Daktari kwa kueleza vizuri sana kuhusu ugonjwa wa fistula, ni kweli wengi wao wanaopata ugonjwa huu hujisikia aibu sana lakini nami niwatie moyo kwamba ugojwa hauna aibu wajitokeze kwenda kutibiwa. Mzee Mshanga - Kiluvya KibahaJuly 16, 2012, 5:44 p.m. GMT
GuestNasikitika taarifa ya habari ya redio One..ya tarehe 9 Julai 2012 saa saba mchana...ikitumia neno "WAHANGA" badala ya WAATHIRIKA...
HAWA REDIO ONE KILA JUMAMOSI SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI WANA KIPINDI CHA LUGA YA KISWAHILI NA JINSI YA KUIBORESHA...NA NENO WAHANGA WANASEMA LINATUMIIWA VIBAYA...LAKINI WATANGAZAJI HAO HAO WANALITUMIA.. HII NI AIBU KWA REDIO ONE...July 9, 2012, 10:12 a.m. GMT
GuestTunakujua Mh. Pinda anasemanini kuhusu hao premature doktas, sasa nyinyi hampatikani. Shame on uJune 28, 2012, 5:46 a.m. GMT
GuestKweli ni aibu kubwa kwa Radio kama hii kutopatikana online aisee.!! Naona mmekazania kutangaza kwa njia za Ki- S.L.P wakati viredio vichanga kabisa vanaenda na wakati.! Sasa hivi watu wanadot com mazee..!!!June 13, 2012, 3:48 a.m. GMT
GuestRadio hii ilikuwa kati ya FM radio za kwanza kabisa, lkini haiendi na wakati kabisa, hata watangazaji wazuri wanaondokaJune 3, 2012, noon GMT
GuestNimesikitika kukosa kipimajoto juu ya chuki za muungano na kidini Zanzibar hadi kuchomwa makanisa!June 1, 2012, 5:46 p.m. GMT
GuestNi ajabu na kweli Radio One haiko online wakati Radio Maria, Safina na zingine zinapatikana! It is a shame!June 1, 2012, 5:45 p.m. GMT
Guesthaipatikani hata kidogoJune 1, 2012, 8:31 a.m. GMT
GuestHAIPATIKANI HAPO KILA WAKATI IPO OFFLINEMay 30, 2012, 2:39 a.m. GMT
Guestradio one ina patikana online hapa
http://www.ustream.tv/channel/radio-one-tanzaniaMay 24, 2012, 4:31 a.m. GMT
Guestniko Urusi, wapi pa kuipata Radio one?May 19, 2012, 6:40 a.m. GMT
GuestKARNE YA 22 JAMANI RADIO KUBWA KAMA TANZANIA RADIO ONE HAMPATIKANI... HADI IRINGA WANASIKIKA ALL OVER THE WORLD... NI AIBU HAMPATIKANI KWENYE INTERNET... i cant wait to listen to your programs...April 18, 2012, 11:55 a.m. GMT
GuestNAOMBA RADIO MJITAHIJI MPATIKANE ONLINEApril 18, 2012, 11:39 a.m. GMT
GuestWERE IS RADIO ONE ON LINEApril 18, 2012, 10:40 a.m. GMT
Guestsidhani kama radio one inapatikana online!April 10, 2012, 8:24 a.m. GMT
GuestNAYO INAPATIKANA SA NGAPI HAAAApril 9, 2012, 7:59 a.m. GMT
Guestniko uk naoma kusikilizaApril 8, 2012, 7:44 p.m. GMT
Guestmimi hapa Australia napenda kusikiliza radio one dar es salaamApril 8, 2012, 8:46 a.m. GMT
Guesti like good newzApril 7, 2012, 4:08 a.m. GMT
Guestnipo mozambique nataka kusikiliza radio one kwenye internet,je nitaipataje?March 17, 2012, 11:49 a.m. GMT
Guestradio one fmMarch 16, 2012, 8:38 a.m. GMT
GuestBongo flaverFeb. 3, 2012, 6:34 a.m. GMT
Guestswaafi kabisaaJan. 30, 2012, 8:07 a.m. GMT
Guestonline Radio One Dar es SalaamJan. 26, 2012, 8:17 a.m. GMT
Guestpliz allow us 2 hear radio one online HONEST MACHA, BOTSWANAJan. 13, 2012, 7:49 p.m. GMT
Guestjohn from sweden i want to listen radio one tanzania on lineNov. 29, 2011, 1:43 p.m. GMT
GuestI am in Moshi, How can I get Radio One?Nov. 24, 2011, 9:38 a.m. GMT
GuestHow can I listen Radio One online? IFM Dar Es SalaamOct. 21, 2011, 9:08 p.m. GMT
Guestlee_buchwa@yahoo.com I want to listen to radio one live onlineOct. 5, 2011, 5:30 a.m. GMT
GuestHow can I get Radio one on line? I am in ItalySept. 17, 2011, 3:22 p.m. GMT
GuestWhat is your email address please?
This is regrading media rates.
sp2@futurelearn.co.zaAug. 24, 2011, 12:52 p.m. GMT
GuestHow can I listen to radio One online? I am in FinlandJuly 27, 2011, 9:36 a.m. GMT
GuestHow can i access radio one online?June 23, 2011, 9:11 a.m. GMT
Guesthow can Artists far away from home be able to forward
their New tracks directly to the trusted Radio Presenters?June 20, 2011, 8:58 a.m. GMT
Guesthi
what i need to do radio in Tanzania?April 29, 2011, 2:51 p.m. GMT
Guestmuziki wa zamaniApril 29, 2011, 6:38 a.m. GMT
Guesttungependa sana kama tungeweza kuwa na uwezekano wa kusikia radio one, cheny kutoka como milano italyApril 18, 2011, 1:43 p.m. GMT
Guestnaskia radio bongo vizuri sanaa chenbay .como italyMarch 6, 2011, 8:49 a.m. GMT
Guestnatowa hikwandugu wote wa BongoFeb. 5, 2011, 12:04 p.m. GMT
Guesthow hard for you guys to start streaming online musicJan. 2, 2011, 8:19 a.m. GMT
Guestplease can you play mtu pesa from the african stars.Nov. 14, 2010, 2:17 p.m. GMT
GuestSISI WAKAZI WA NACHINGWEA TUNAULIZA KAMA UKO UWEZEKANO WA KUWATUMIA RADIONI NYIMBO YETU KUPITIA EMAIL.rashidisaidi26@gmail.comOct. 29, 2010, 5 a.m. GMT
Streema TeamDelight yourself with Variety tracks from Dar es Salaam, Tanzania by enjoying Radio One.April 26, 2010, 6:17 p.m. GMT