Radio Safina FM - FM 92.6 - Arusha

Save this radio to your Streema Favorites

Ads by Google AdSense

Radio Safina FM Info

Play

Get the live Radio Widget

3.5/5 based on 8 reviews. Rate this station

1911 Tune Ins

Safina Radio FM is a broadcast radio station from Arusha, Tanzania, providing African music.

Visit the Radio's website

Christian Education Music FM 92.6 24Kbps Swahili

Wall

Guest

Guest

Ninaomba mnisaidie contact za jovin Abel msuya

April 18, 2014, 1:28 p.m. GMT

Guest

Guest

Lawrence Muhando. Mungu awa bariki nina wapata vizuri. nipo marecani. nina watakia pasakanjema.

April 18, 2014, 12:10 p.m. GMT

Guest

Guest

Mungu atuongoze tuweze kusikika Tanzania na duniani kote kwa ujumla tuweze kulisifu jina lake , nikatika jina lipitalo majina yote, jina la Yesu kristo ameeen

April 14, 2014, 8:57 p.m. GMT

Guest

Guest

hi naomba anaejua jinsi ya kuipata vzr safina radio plz anielekeze

April 11, 2014, 11:38 a.m. GMT

Guest

Guest

Hi! How can i get Mafundisho ya leo ya kongamano la vijana lililofanyika ukumbini

April 5, 2014, 5:55 p.m. GMT

Guest

Guest

lawrence muhando. mungu awabariki. mimi nipo marecani. ninawapata.

March 30, 2014, 6:18 p.m. GMT

Guest

Guest

iyendembeleeee radio safinaaa. eyendembeleeeeeee

March 24, 2014, 3:34 p.m. GMT

Guest

Guest

Bwana asifiwe wachungaji, nawaombea muendelee kuitangaza injli ya bwana yesu. Nawashukuruni sana wachungaji wote wa redio safina nimebarikiwa sana na mafundisho mungu awabariki. Ame.. ni Esther jaqline

March 23, 2014, 9:28 p.m. GMT

Guest

Guest

Mbarikiwe sana watumishi kwa kazi nzuri mnayoifanya.

March 23, 2014, 2:47 a.m. GMT

Guest

Guest

may the Almighty God bless and protect you under His arms as you proceed doing His work everyday. may He give you strength and power for His work. says Christina Nakey UoA

March 14, 2014, 5:12 p.m. GMT

Reviews - Rate this station:

Guest

since when i started listening from radio safina my whole life changed knowing GOD'S LOVE in a very pure way....i hope to be a member of the radio one day in the future BE BLESSED

Guest

Asante kwa radio Safina tunawapata japokuwa mtandao haushiki vizuri Mungu wape nguvu muweze kushughulikia shwala la mtandao huku Canada ili watu waweze kusikiliza neno la Mungu na kuokolewa Watumishi wa Mungu mbarikiwe Canada Ontario

Guest

MIMI MDAU MPYA WA SAFINA RADIO BUT AM BEGINNING TO LIKE IT, HASA MAFUNDISHO YAKE NA MAOMBI. MUNGU AWABARIKI KWA KAZI NJEMA. GERMA, DENMARK.

Guest

Like teachings and prayer ministry of Safina Radio. I specifically like the overnight prayers and live program from the prayer house maeneo ya Kwa Mrombo Arusha

Guest

MIMI NAITWA AMINIELI ROINE WA ARUSHA ,KIPEKEE NAOMBA WATUMISHI WA UNGU WANIOMBEE ILI NIFANIKIWE KATKA MAINSHA YANGU YA KILA SIKU PIA MUNGU ANIE PUSHE MAADUI .KILI KILA VITA YA KIROHNO NMA YA KIMWILI NIONEKANE MSHINDI KATIOKA ULIMWENGU WA SAS AMEN

Guest

MUNGU AZIDI KUWALINDA WATUMISHI WA RADIO SAFINA KWA DAMU YA YESU KRISTO WA NAZARETH. JAPO NIPO MBALI NA NCHI KILA SIKU MIMI NA FAMILIA YANGU TUNALINDWA MNO NA MUNGU WETU ASIYESINZIA WALA KULALA. TANGU NIMEANZA KUSIKILIZA NA KUJIUNGA NA MAOMBI MAISHA YA NYUMBA YANGU YAMEKUWA KTK NURU YA YESU NA MIALE YA MOTO WA HOLY GHOST.MTOTO WANGU WA 4YRS ALIYEKUWA HAWEZI KULALA USIKU SIKU HIZI DAMU YA YESU IMEMSHINDIA KABISA KWANI HAONI TENA ALIYOKUWA ANAONA USIKU. HATA DAMU ILIYOKUWA INAMTOKA PUANI USIKU IMEKOMA KWANI DAMU YA YESU IMELIPA YOTE. LEO HII MI NA NYUMBA YANGU TUNAISHI KWA NEEMA YA MUNGU ILIYOWAWEKA ADUI ZETU CHINI YA MIGUU YETU. MUNGU AZIDI KUWATUNZA PAMOJA NA FAMILIA ZETU. ASANTE YESU KWA USHINDI WA DAMU YAKO YA MSALABA NA YA PASAKA KWANI IMETUKOMBOA NA KUMSHINDA MWOVU IBILISI

Guest

MUNGU AWABARIKI KWA MAOMBI MNAYOFANYA USIKU WENGI WAMEFUNGUKA WALIOFUNGWA NA NGUVU ZA GIZA.NAOMBA MUNIOMBEE MIMI NA FAMILIA YANGU.MWANANGU JUDITHI AMBAYE AMETUPIWA MAPEPO NA MAMA YAKE MZAZI YA KUMHARIBU MAISHA PAMOJA NA FAMILIA NZIMA.MAMA YAKE ANAITWA GLADY NA BABA ANAITWA MSHANA NA MIMI NAITWA NAVO NA MWANANGU INNOCENCIA,MUNGU AWABARIKI.NIPO MOSHI

Guest

NIKO SOUTH AFRICA NAOMBA WATUMISHI MNIOMBEE KWA MUNGU KWA MAANA MIMI NI MWENYE DHAMBI NA NINAHITAJI MSAADA WA MUNGU ANISAIDIE NA ANIREHEMU KWA HURUMA ZAKE NYINGI

Sign Up for Streema

If you want to save the Radio Safina FM live stream, start sharing stations with friends, or engage in a deeper Streema experience, please sign up below.

By clicking Sign up, you are indicating that you have read and agree to the Terms of Service and Privacy Policy.

Streema Mobile

We've developed a mobile website for iOS (iPhone, iPad, iPod) and Android devices. Native apps coming soon!

You can check it out by visiting our mobile radio site from your phone or tablet's mobile browser - it's free, no download required.

For more information go to our Mobile Support .

In other languages

See this page in French: Ecouter Radio Safina FM en ligne

Playlist, tracklist, top songs played coming soon...

PC requires Windows Media Player - Mac additionally requires Real Player - See FAQs for more info on how to listen to live streaming radio.