Radio Tanzania Dar es Salaam - TBC Taifa - FM 94.6 - Dar es Salaam

Save this radio to your Streema Favorites

Ads by Google AdSense

Radio Tanzania Dar es Salaam - TBC Taifa Info

Radio Tanzania Dar es Salaam - TBC Taifa is a broadcast radio station from Dar es Salaam, Tanzania providing African music and news.

Visit the Radio's website Wikipedia

African News FM 94.6 0Kbps Swahili
Contact: http://www.tbc.go.tz/~tbcgo/tbc-taifa/contact-us.html

Wall

pablo.mkanyila

Pablo Mkanyila

habar zakaz jaman? Me nikuwa na ombi tafadhari naomba na sisi matu tunaopenda vitu tofauti mturidhishe kwan ckuwiz hata wakina bi rukia issa matona yan naamanisha taharabu harisi jaman pamoja cc wachache lkn tunavipenda hasiliyetu watu wapwan kwan leo ckumbuki kama mmetutangazia kifo cha juma balo

April 6, 2014, 5:46 p.m. GMT

ahmed.hamood.3975

Ahmed Hamood

jamani tbc hamujambo za asubuhi

Jan. 20, 2014, 3:47 a.m. GMT

Guest

Guest

NAHITAJI MATOKEO YANGA VS SIMBA

Aug. 29, 2013, 4:47 p.m. GMT

Guest

Guest

habari zenu watangazaji wa TBC Taifa mi ni msikilizaji wenu naitwa Hassan Mtupa shida yangu nilikuwa naitaji nyimbo ya mwimbaji wa zamani wa Taarab hasilia(Mwambao) anaitwa Daima Abdallah nyimbo inaitwa Kifo cha Mama na nyingine inaitwa kifo cha Baba kama mtaweza kunitumia kwenye accout yangu k.looz see more... awadi@yahoo,com nitashukuru. Ahsanteni

July 30, 2013, 9:28 p.m. GMT

Guest

Guest

Jamani ndugu zangu hapo situdioni, mbona hamna sauti TBC?

July 13, 2013, 9:08 a.m. GMT

Guest

Guest

nilitegemea kusikiliza mpambano wa yanga vs simba hapo tarehe 18 kupitia online radio sasa mbona hakuna matangazo?? tatizo ni lipi? tunawaomba mshughulikie hicho kinachowarudisha haraka iwezekanavyo

May 16, 2013, 2:01 p.m. GMT

Guest

Guest

Naitwa Gabriel Kige Machotta nikiishi Norway. Radio zote zinazotumia web ya Streema, Radio Tanzania ikiwa mojawapo, zinasilikilika vizuri sana. Mbona nyinyi TBC Dar es Salaam hamsikiki ? Kulikoni ? Nakubaliana na maoni ya Mohamed Omari. Rekebisheni mitambo ili tuwapate. Huku tulipo Tunahitaji sana k see more... uelimika na yatokeayo nyumbani. Asanteni sana na Kheri ya Mwaka Mpya...2013.

Jan. 26, 2013, 3:35 p.m. GMT

Guest

Guest

naitwa mohamed omari naishi south africa vipi mbona atusiki chochote uku lekebisheni mitambo tunawaomba.

Jan. 16, 2013, 5:46 p.m. GMT

Guest

Guest

Hivi kuna redio kweli mbona hakuna sauti? Nipo China

Jan. 13, 2013, 1:54 p.m. GMT

Guest

Guest

listen when in mwanza

Dec. 24, 2012, 3:23 a.m. GMT

Reviews - Rate this station:

No reviews yet. Be the first to post one

Sign Up for Streema

If you want to save the Radio Tanzania Dar es Salaam - TBC Taifa live stream, start sharing stations with friends, or engage in a deeper Streema experience, please sign up below.

By clicking Sign up, you are indicating that you have read and agree to the Terms of Service and Privacy Policy.

Streema Mobile

We've developed a mobile website for iOS (iPhone, iPad, iPod) and Android devices. Native apps coming soon!

You can check it out by visiting our mobile radio site from your phone or tablet's mobile browser - it's free, no download required.

For more information go to our Mobile Support .

In other languages

See this page in French: Ecouter Radio Tanzania Dar es Salaam - TBC Taifa en ligne

Playlist, tracklist, top songs played coming soon...

PC requires Windows Media Player - Mac additionally requires Real Player - See FAQs for more info on how to listen to live streaming radio.