Guest Naitwa Gabriel Kige Machotta nikiishi Norway. Radio zote zinazotumia web ya Streema, Radio Tanzania ikiwa mojawapo, zinasilikilika vizuri sana. Mbona nyinyi TBC Dar es Salaam hamsikiki ? Kulikoni ? Nakubaliana na maoni ya Mohamed Omari. Rekebisheni mitambo ili tuwapate. Huku tulipo Tunahitaji sana k...
Jan. 26, 2013, 3:35 p.m. GMT
Guest naitwa mohamed omari naishi south africa vipi mbona atusiki chochote uku lekebisheni mitambo tunawaomba.
Jan. 16, 2013, 5:46 p.m. GMT
Guest Hivi kuna redio kweli mbona hakuna sauti? Nipo China
Jan. 13, 2013, 1:54 p.m. GMT
Guest listen when in mwanza
Dec. 24, 2012, 3:23 a.m. GMT
learjet60 ukiwa usa unasikia kwani hapa patupu
Nov. 18, 2012, 4:10 a.m. GMT
Guest Mimi nipo New Zealand mbona sisikii sauti? Help
Nov. 5, 2012, 8:17 a.m. GMT
Guest mbona sisikii sauti wakati naona kama iko hewani kabisa yaani batan ya sauti iko lkiwango kizuri
Oct. 15, 2012, 2:03 p.m. GMT
Guest Hi napenda kumsalimia shangazi huko tanzania binti namoa ambaye alifiwa na mwanae aitwaye fatuma napenda kumpa pole Mimi naishi huku UK. Ansateni
Aug. 29, 2012, 10:12 p.m. GMT
Guest no signal for radio on our area
June 13, 2012, 1:45 p.m. GMT
Guest sisi sote tunipenda sauti lakini jamani tutilieni nyimbo
May 28, 2012, 4:25 p.m. GMT
Guest salam ndugu zangu wa tanzania
May 27, 2012, 8:02 p.m. GMT
Guest hata mimi hapa lebanon nawapata sawasawa.YUSTO
March 26, 2012, 5:15 p.m. GMT
Guest Hy ongera sana radio dar es salaam .naitwa Ernest Nduwamungu naishi U. S. A .Ningeomba musada wakutoka kwenu ,nina nduguzangu wanaishi tanzania dar es salaam sasa tumepoteyana maranyingi sana,Je! ningeomba musada wakutoka kwenu ,je! munaweja kunisaidia,ningeomba jibu kutoka kwenu,,muniandikiye k...
March 25, 2012, 1:14 a.m. GMT
Guest hi naitwa jamilanaarufu dadi napatikana new zealand napenda kupeperusha salamu zangu kwanza ni kwa asali wangu wamoyo pili nikwa marafiki zake wote naujumbe nikwamba avumilie iposiku asijali tutaonana march 15,2012,10:03 pm.GMT
March 15, 2012, 8:22 a.m. GMT
Guest hi, naitwa Jack kutoka Ireland naomba salam zangu ziwafikiye wakimbizi wote waishiyo inchini Tanzania. pamoja na wimbo wa TX Moshi uitwao ajali.
March 7, 2012, 3:04 p.m. GMT
Guest naomba mipigiye wimbo wa Timotheo mulonda ambao unaitwa love nawasalimiia watanzania wote
March 6, 2012, 1:43 p.m. GMT
Guest Dada uko juu sana kwa hiyo sauti yako kwakile unacho kifanya mishale ya night katika mpangomzima wa malavi davi...unakiendesha vizuri hicho kipindi....Naita venance napatikana KG.....KWA ZITOKABWE...!
Jan. 9, 2012, 8:51 p.m. GMT
Guest clouds fm mpo juu..kiukweli mnatisha ille mbaya mna asilimia karibu 99 ,moja tuna mwachia mungu co atufahamu amepewa nani kwa huku KG(KIGOMA),Kila kona ukipita mnasikika .......!daaaaaa....!mnatisha kinoma.Hv ni nini siri ya mafanikio yenu hata watoto wadogo wanaipenda redio yenu.....?
Jan. 9, 2012, 8:45 p.m. GMT
kasile mulonda naitwa magi ninaishi uk na mimi pia naomba mnitumie salamu zangu wa wa christo wote hapo Tanzani na mimi pia nigependelea mnipigiye wimbo huu wa mirror ambao umehimbwa na timoteo kule ireland
Dec. 4, 2011, 11:33 p.m. GMT
Guest Salaam zangu ziwafikie Watangazaji wote wa RTD, Thanks for Good Job ya kuwahabarisha WTZ. Naomba unipeperushie salaam hizi kwa Tanzania wote: Nawatakia Kheri ya Christ Mass na Mwaka mpya 2012 Watanzania wote. Sifa na Utukufu tunampa Mungu kwa kututunza na kulilinda Taifa Letu. Ujumbe wa Mwa...
Nov. 30, 2011, 6:38 a.m. GMT
Guest <span onmouseover="_tipon(this)" onmouseout="_tipoff()"><span class="google-src-text" style="direction: ltr; text-align: left">Write something on this wall!</span> Skrive noe på denne veggen!</span>
Oct. 26, 2011, 12:38 p.m. GMT
Guest i hope i feel good now. i'm down too down
Sept. 17, 2011, 7:33 p.m. GMT
Guest how can Artists far away from home be able to forward <br />their New tracks directly to the trusted Radio Presenters?
June 20, 2011, 9:01 a.m. GMT
Guest FM 94.6 Dar es Salaam
June 19, 2011, 7:22 a.m. GMT
Guest what a boomer. everything is online live nowadays. We need live streaming from Tanzania. Please Tanzania adjust with time, and be known world-wide than just continuing being antique all the time.
April 15, 2011, 4:34 p.m. GMT
Guest RADIO TANZANIA
Feb. 1, 2011, 12:10 a.m. GMT
Guest Hello Where can we listen to your radio through internet or any stations from Dar Please advice Thank you ndugu Hamed
Nov. 28, 2010, 9:56 a.m. GMT
Guest Hi i would like to sikia radio tanzania online
Nov. 1, 2010, 9:35 a.m. GMT
Streema Team Dive into African songs from Dar es Salaam, Tanzania by playing Radio Tanzania Dar es Salaam.
April 22, 2010, 1:15 a.m. GMT
Playlist, tracklist, top songs played coming soon...
PC requires Windows Media Player - Mac additionally requires Real Player - See FAQs for more info on how to listen to live streaming radio.
Guest nilitegemea kusikiliza mpambano wa yanga vs simba hapo tarehe 18 kupitia online radio sasa mbona hakuna matangazo?? tatizo ni lipi? tunawaomba mshughulikie hicho kinachowarudisha haraka iwezekanavyo
May 16, 2013, 2:01 p.m. GMT